Search results

  1. ibraton

    TABOO: Utaweza kumruhusu mke/mume wako kufanya mapenzi na mtu mwingine mbele yako?

    Habari zenu wadau wa JF, Leo nmekuja na hii kitu inaitwa TABOO nilipata kuona kwenye channel moja DSTV Huko Australia wanandoa ili kudumisha penzi lao huwa wana tabia kila baada ya mUda kila mwanandoa anatafuta mtu stranger (sio wa mtaani mnaenda kumtafuta wote wawili) itategemea ataanza nani...
  2. ibraton

    Jf nisaidieni hili'

    Wana JF naomba msaada wenu kwa hili'nipo kwenye mahusiano ya zaidi ya miaka2 sasa'mpnzi wangu yeye amfanikiwa zaidi yangu'ana gari,tatzo ambalo mi linanikwaza vtu vyake ananipa kwa masharti sana kiasi kwamba nahsi kama ananinyanyasa'sasa sijui nina wivu au ndio mapenzi'kwa mfano nikiwa naendesha...
  3. ibraton

    Nataka kuoa lakini sijapata kazi wana JF, msaada

    Wana FJ nataka kuoa lakin cjapata kazi bdo mnaniambiaje niingie hafu kitaeleweka humohumo!!.
  4. ibraton

    Nafikiria kuwekeza kwenye BURUDANI'

    MI ni mjasiria mali mdogo'nna vijisenti vyangu nafikiria jinsi ya kuviendeleza nikaona kwenye biashara ya burudani inalipa kimtindo'JF mnasemaje msaada kidogo'.
  5. ibraton

    Napenda kufanya kazi siyo kufanyishwa kazi

    wangapi mshafikiria kufanya kazi?
  6. ibraton

    kwanini watu wanatafuta kazi badala ya kutafuta maisha''

    hvi ushafikiria kwanini watu wengi hufikiria kutafuta kazi badala ya kutafuta maisha bora?
Back
Top Bottom