kwanini watu wanatafuta kazi badala ya kutafuta maisha''

ibraton

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
353
185
hvi ushafikiria kwanini watu wengi hufikiria kutafuta kazi badala ya kutafuta maisha bora?
 
Bila kazi utapataje hayo maisha bora mkuu sababu hata wizi ni kazi pia!!!
 
the guy has apoint
kazi pia sio maisha bali ni utumwa
maana wengi mishahara yetu ni ya kutuwezesha kula, kurent na kutupatia nauli ya kwenda kazini.
 
Unatafuta maisha? hutoyapata kama hujafanay Kaiz ndo sababu watatufa kazi... Hakuna Maisha Bila Kazi....
 
nashukuru mnielewa lakini''ushafikiria kwann uimetumia miaka2 kutafuta kazi na kwann ukutafuta maisha mazuri?
 
Huwezi kuwa na maisha mazuri endapo hufanyi kazi, kufanya kazi ni moja ya strategy ya kutafuta maisha mazuri. Hv vtu vinaendana!
 
Kazi ni kazi, Bora mkono uende kinywani, Maisha bora bila kazi hayawezekani, Kazi siyo lazima ya kuajiliwa Hapo tu ndio kwenye tofauti lakini yoyote ya kazi inakupa maisha Bora.
 
Thread nzuri sana. Wengi tunapenda kujiajiri ila vijana hatuna elimu ya ujasiriamali hivyo wengi yaliyotawala akili mwao ni kusoma na kupata ajira na si vingine
 
hvi ushafikiria kwanini watu wengi hufikiria kutafuta kazi badala ya kutafuta maisha bora?

Unamaanisha kazi ya kuajiriwa ya mshahara? kama ndivyo hiyo imesababishwa na mfumo mbovu wa nchi. Utakuta umesoma na una ujuzi na maarifa ya kuanzisha shuhuli yako yaani kujiajiri mwenyewe lakini mtaji unakuwa kikwazo, benki zina masharti magumu ya kutoa mikopo.
 
Nazani kabla ya kuuliza swali ungejiuliza kwamba kati kazi na maisha ni nini kinaanza na kipi kinafuata.
 
Back
Top Bottom