Bullying ni aina ya Unyanyasaji unaoweza kufafanuliwa kama shambulio la kisaikolojia, kimwili au vitisho ambalo hulenga kusababisha woga, mawazo au kumdhuru mwathirika.
Bullying inapofanyika mashuleni huwa katika mazingira ambapo mwanafunzi hujikuta katika unyanyasaji wa kimfumo (pamoja na wigo...
Jambo moja kwa hakika: Ukiona mwanaume yeyote unayemfahamu kwenye maisha yako analia tambua kwamba kuna jambo haliko sawa. Hii ni tofauti na kwa wanawake ambapo wakilia sio lazima kuwe na tatizo kwasababu wao hutoa machozi mara kwa mara na jambo hilo hawalionei aibu na wameshazoeleka kufanya...
Utafiti mpya uliofanywa na chuo cha Aston mjini Birmingham, Uingereza umegundua kuwa katika bidhaa 9 kati ya 10 za urembo (Makeup) ambazo zimekwisha kutumika zina bakteria hatari.
Utafiti huo uliochapishwa katika Jarida la Applied Microbiology, ulichunguza bidhaa 467, ikiwemo rangi za midomo...
Ndoa za utotoni mara nyingi hutokea kati ya msichana mdogo na mwanaume mzee. (Mfano miaka 15 kwa miaka 75) Msichana ananyimwa haki yake ya kuchagua mwenzi na kupewa uwezo mdogo nyumbani na hata kunyanyaswa.
Kwa mujibu wa Shirika la watoto duniani (UNICEF), karibu nusu (45%) ya wanawake wote...
Wanawake na mabinti hasa wenye umri mdogo wanakabiliwa na aina mbalimbali za unyanyasaji ikiwamo unyanyasaji majumbani. Ukatili wa kijinsia unaweza kuchukua sura yoyote kuanzia kwenye kurubuniwa kwa vitisho ama ahadi, ukatili wa kingono katika miozo hadi ndoa za utotoni, ukeketaji na kuuawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.