Search results

  1. Mayor Slum

    Nimeitwa kwa ajili ya usaili RUWASA kama mhasibu, naombeni msaada juu ya haya baadhi ya mambo

    Je hao ruwasa wamepitia utumishi ? Au ni wenyewe tu ruwasa wamekuita?
  2. Mayor Slum

    Nimepoteza begi lenye vyeti vyangu na barua ya kuripoti kazini, nifanyeje?

    Ingia Ajira portal download certificate zote alafu rudi Dodoma kajieleze kuwa umepoteza barua ya placement nina uhakika watakupa ingine
  3. Mayor Slum

    Haya maisha sio poa kwakweli

    Mbona uko mdogo sana Mimi nimepata ajira nikiwa na miaka 31
  4. Mayor Slum

    Msaada Ajira Portal

    Sasa wewe umeweka nali CPA la nini. Huyo internal auditor wanayemhitaji hana CPA wewe umezidi vigezo.
  5. Mayor Slum

    Kuna uwezekano wa kuichukulia Dar badala ya Dodoma barua ya kuitwa kazini Utumishi?

    Nenda Dodoma utumishi house kachukue barua na usaini wakague na kitambulisho chako Mkuu
  6. Mayor Slum

    Mshahara wa November

    Kama shirika gani Mkuu?
  7. Mayor Slum

    Kati ya Kahama na Morogoro wapi panafaa kuishi kwa mtu anayeanza maisha?

    Kama ni mwajiriwa na unapenda boashara nenda kahama. Mzunguko wa pesa mkubwa sana Wafanyabiashara wanasema kahama kuna pesa
  8. Mayor Slum

    Msaada wa udhamini kwaajili ya chuo

    Mtafute jamaa mmoja anaitwa Malisa GJ facebook Ingia inbobo umuombe msaada wanaweza kukuchangia
  9. Mayor Slum

    Ajali za treni duniani. SGR, tumejitayarishakuelimisha matumizi ya makutano ?

    Treni imepita kwa juu Mkuu Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  10. Mayor Slum

    Wasukuma Wanazaliana Sana, Inahitaji Affirmative Action juu ya Uzazi wa Mpango dhidi yao

    Wasukuma utaweza bana Yaani wanazaliana hatari Unakuta mtu ana watoto wanne alafu wanaishi chumba kimoja mke mme na watoto wa nne alafu nyumba yenyewe ya kupanga
  11. Mayor Slum

    Watano wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Wasukuma washirikina sana aseh
  12. Mayor Slum

    Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

    Nenda kaombewe kama ni mkatoliki tafuta wakrismatiki wakuombee hata ajira utapata na utubu
Back
Top Bottom