Search results

  1. doullar

    Natafuta Mwalimu anayefundisha Lugha ya alama

    Habari Natafuta fursa ya kuongeza ujuzi wa lugha ya alama. Nipo Dar es Salaam 0746709578
  2. doullar

    Jiwe Jeusi la Chato

    Lina uzito wa tani, jiwe jeusi la chato Jiwe jeusi si dini, jiwe halina mvuto Sasa nikusimulieni, limepataje uzito Hata mkifika mia, hamlibebi kitoto Washi walilipinga, kutaka kulisimika Ya rangi wakayapanga, hili hawakulishika Mawe yakatoa unga, na ponde yakapondeka Hata mkifika mia, hamlibebi...
  3. doullar

    Shairi "tumeumbiwa nini"

    Sauti yangu napaza,kuwaita mlo mbali Natawaka kuuliza,munipe jibu la kweli Moyoni lanitatiza,lanisumbua akili Tumekuja duniani,tutumize lengo gani Swali msije lipuza,kaniona punguani Au msije nibeza ,kuniona limbukeni Mpate la kueleza,likanikifu moyoni Tumekuja duniani,tutimize lengo gani...
  4. doullar

    Nimeconfirm vyuo viwil tofauti nasaidikaje

    Nimechaguliwa udom na muce na vyote nimeconfirm vyote nasaidiwaje
  5. doullar

    Nyumbani ameondoka

    NAKUKUMBUKA Hazinipiti dakika,saa yendapo kulia mzigo ulonitwika,sina wa kunipokea nyumbani umeondoka,sijachoka kungojea kubwa lililoniuma,kule kukuhudumia kikwona washika tama,karibuyo nasogea mbona moyo ukahama,nyumbani ukakimbia uzuri wa mbalamwezi,nakumbuka sura yako usoni macho ya...
Back
Top Bottom