Search results

  1. sir inyunya

    Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Tukutane Afcon2019 misri Sent using Jamii Forums mobile app
  2. sir inyunya

    Karibu tujuzane viungo vya chai ya rangi

    Unaiandaaje hyo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. sir inyunya

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Tupo vizuri unyamani kila raheli mnyama in quarter final Sent using Jamii Forums mobile app
  4. sir inyunya

    Prof. Lipumba: ACT-Wazalendo imeongeza damu yenye virusi ikidhani ni damu salama

    Tutajionea meng mwaka huu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. sir inyunya

    Azam FC mabingwa wa Kombe la Mapinduzi 2018 waifunga URA kwa penalti 4-3

    Kipa wa azam yupo vzr sn ivo amechangia kwa % kubwa
  6. sir inyunya

    Natafuta mwenza wa kiume

    R.I.P
  7. sir inyunya

    Tulipoandamana walidai kwamba Ijumaaa yaan Jana wangetoa majina mengine, mpaka sasa hawajatoa

    Nilivyo kosa mkopo nilisoma kwa tabu sana ila nilifanikiwa kumaliza semi6 moja but kwa semi6 ya pili nilizuiliwa kufanya mitihan kias kwamba nilishindwa kumalizia ada ambayo ni laki saba na elfu 30 kutokana na wazaz wangu kushindwa kuipata hyo pesa lakin serikali imeproove failure kushindwa...
  8. sir inyunya

    Natafuta mwenza wa kiume

    Kamuombe msamaha aliekutoa bikra
  9. sir inyunya

    Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

    Weka neno lako ili liendane na wimbo
  10. sir inyunya

    Marcos Senna Kiungo fundi aliyefichwa na kivuli cha Xavi na Iniesta.

    Balaa lake halikuwa dogo nakumbuka Euro 2008 ilikuwa n Germany vs Spain ofcoz hyo game Marcos senna alitakata
  11. sir inyunya

    Nyota ya Msuva ni "nyota ya kanda ya mashariki"...

    Kwa kuongea tu tupo vzr sana ndio kwanza hata miez miwili hana iweje achukue tuzo ya mchezaj bora wa mwez agost?
  12. sir inyunya

    Tanzania yashuka viwango vya FIFA, yashika nafasi ya 125

    Nahc kwa siasa tanzania tunaweza ongoza kwa kushika namba moja ivo mpira tuwaachie wanaoujua na kuuthamini, team mbovu miundo mbinu mibovu ivo ngoja tuone uongoz ulioingia saiv tff ni kitu gani watakirekebsha....
  13. sir inyunya

    Mechi 3 bora za wakati wote!

    Hii game inanikumbusha lile goli Michael essien km naliona vile Stamford bridge
  14. sir inyunya

    Manara: Uwanja umeota mbawa, haya rudini bondeni mkahangaike na magugu maji

    Miundo mbinu mibovu lkn kwa wenzetu vyura ndio washazoea kuogelea madimbwini, wachache mtanielewa
  15. sir inyunya

    Viwango vya soka vilivotolewa leo na FIFA

    Tatzo tunachanganya mpira na siasa ivo sio rahc kutoboa kimataifa still bdo tumewekeza kwenye siasa
Back
Top Bottom