Watanzania, natumaini sote tumeguswa na ajali ya Lucky Vincent na haitakuwa vyema kuisahau, maana waliopoteza watoto wao hawatawasahau na kamwe ajali hii haitafutika katika akili zetu kila tutakapokuwa tunavuta hisia na kupiga picha.
Ni wazi kwamba kila mmoja wetu ameshampoteza mtu kwenye...
Ninapenda kutafuna mifupa milaini ya kuku. Hasa kwenye viungio--huwa kuna ile mifupa myeupe hivi--ni kama si mfupa na si nyama. Kwa kuku wa kienyeji labda hakuna tatizo. Kwa kuku wa kisasa je?
Kuna matatizo yoyote ya kiafya naweza kupata?
Swali la kizushi lakini itakuchukua zaidi ya dakika 10 kujibu. Si rahisi kama unavyofikiria. Soma maandishi ya kwenye picha kisha shusha mtazamo wako hapo chini ya picha hii:
Badilisha hiyo fikra (Change that Attitude)
Inashtua sana Watanzania kushtuka pale wanaposikia mambo ambayo ni nje ya imani yao au hayaendani na mtazamo wao na kamwe kutorudi nyuma kutafakari kuhusu mambo yao wenyewe yanayoshtua! Mtazamo hasi ni tatizo kubwa linalotutafuna sisi Watanzania...
KUMBUKA KUWA KIINGEREZA NI LUGHA, SI ELIMU. ELIMU ITOLEWE KAMA ELIMU NA LUGHA IFUNDISHWE KAMA LUGHA. HIVYO NDIVYO NCHI ZA WENYE KUJITAMBUA ZINAVYOFANYA. THAMANI YA ELIMU NI MAUDHUI, SI KUJUA KUSEMA YES, NO. KAMA UNA MAUDHUI MAZURI KWA LUGHA YAKO DUNIA YOTE ITAKUTAFUTA NA KUTAFSIRI. SI KUBABAISHA...
Soma hii, itakusaidia:
Hivi watanzania wanafikiria nini kujifunza maudhui ya Kiswahili kwa kutumia Kiingereza? Ni kama Mchina kuamua kijifunza maudhui ya Kichina kwa kutumia Kiswahili, sio uchizi huo? Au mwingireza kujifunza maudhui yake ya hukooo ulaya kwa kutumia Kichina, si uchizi huo? Na...
KUTOA ELIMU KWA LUGHA YA KWANZA AU LUGHA INAYOELEWEKA KUNAMPA MTOTO FURSA YA KUUNGANISHA ELIMU NA MAISHA YA KAWAIDA. KIINGEREZA KWA TANZANIA NI UKUTA UNAOZUIA MUUNGANISHO HUO.
PIA, KUNAMPA MZAZI FURSA YA KUCHANGIA KATIKA UELIMISHAJI. HADITHI ZA KITOTO HUWAELIMISHA MTOTO TOKA WANAPOKUWA WADOGO...
Hivi watanzania wanafikiria nini kujifunza maudhui ya Kiswahili kwa kutumia Kiingereza? Ni kama Mchina kuamua kijifunza maudhui ya Kichina kwa kutumia Kiswahili, sio uchizi huo? Au mwingireza kujifunza maudhui yake ya hukooo ulaya kwa kutumia Kichina, si uchizi huo? Na Mswahili wa bongo kutumia...
Unashindwa kuchanganua mambo marahisi sana. Kwanza unamaanisha nini kusema 'swahili media'? Kama ninakuelewa ninadhani unamaanisha shule inayotumia lugha ya Kiswahili kufundishia mashuleni, siyo? Ni shule gani hiyo? Ipo mkoa gani? Hujui kwamba serikali yenyewe ndiyo imepinga kutoa elimu kwa...
Wanasiasa wanafaidika na ujinga wa raia. Kwa vile elimu katika shule za sekondari hadi vyuo hutolewa kwa lugha ya Kiingereza ambayo waalimu wanaofundisha na wanafunzi hawaielewi, hakuna anayepata maudhui ya elimu. Zaidi wanafunzi wanaishia kukariri na kufaulu mtihani bila kujua maudhui ambayo...
Hivi kinachowafanya wasanii wa kibongo kuonesha upungufu wa lugha kama vile ilivyo katika upungufu wa kinga mwilini ni nini? Yaani mtu anachafua lugha kwa kuchanganya Kiingereza na Kiswahili baada ya kuokota maneno mawili matatu ya Kiingereza? Sasa wanamchango gani katika kukikuza Kiswahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.