Badilisha hiyo fikra (Change that Attitude)

Jehanamu Hii

Member
Dec 16, 2016
41
31
Badilisha hiyo fikra (Change that Attitude)

Inashtua sana Watanzania kushtuka pale wanaposikia mambo ambayo ni nje ya imani yao au hayaendani na mtazamo wao na kamwe kutorudi nyuma kutafakari kuhusu mambo yao wenyewe yanayoshtua! Mtazamo hasi ni tatizo kubwa linalotutafuna sisi Watanzania. Ninasema tu, usihamaki, jaribu kuelewa. Akili inayopenda kujua mambo ni muhimu sana kwa ajili ya kujifunza mambo mapya --si lazima kufuata imani mpya uliyojifunza au kubadilisha mtazamo, lakini angalau toa nafasi kwa ajili ya kujifunza!!!! Aidha, si sahihi kuwa na mawazo/mtazamo hasi kwa sababu tu jambo lilisomemwa ni kinyume na maoni yako au umeshindwa kulielewa kwa undani. Bora kuyaacha kama yalivyo au kuondoka!!!

It is just shocking when Tanzanians hear things that are out of their belief or interests, they tend to be shocked and never reflect back to their own shocking related things. An attitude is the most problem that eats us Tanzanians. I'm just saying, do not panic, just try to process this. Open minded is very important for learning new things-- not necessarily following a belief that you have learned or change your interest, but at least give a room for learning man!!!! In addition, you should not have a negative opinion just because you cannot perceive something. It is better to leave as it is or to walk away instead!
 
Mkuu...!
Hilo ni Tatizo la Ulimwengu sio tanzania tu!
So many people retort negatively on matters do not bear upon their interests and beliefs.
Staying silent is very best answer
 
Dunia tunapita ee kila kitu kitabakia,
Kitabaki dunia ii binadamu ni mchanga dunia ee
 
Wew n jamaa Wa Jana uliekuw unampnga kufungwa kwa mashoga hadi wapean mimba ndio watolew??!!
 
Sawa lakini usilazimishe tufanane....

Kwanza "It is Ok to be different"
 
Back
Top Bottom