Jehanamu Hii
Member
- Dec 16, 2016
- 41
- 31
Ninapenda kutafuna mifupa milaini ya kuku. Hasa kwenye viungio--huwa kuna ile mifupa myeupe hivi--ni kama si mfupa na si nyama. Kwa kuku wa kienyeji labda hakuna tatizo. Kwa kuku wa kisasa je?
Kuna matatizo yoyote ya kiafya naweza kupata?
Kuna matatizo yoyote ya kiafya naweza kupata?