Jehanamu Hii
Member
- Dec 16, 2016
- 41
- 31
Swali la kizushi lakini itakuchukua zaidi ya dakika 10 kujibu. Si rahisi kama unavyofikiria. Soma maandishi ya kwenye picha kisha shusha mtazamo wako hapo chini ya picha hii:
[HASHTAG]#ujuz[/HASHTAG] juu ya kitu furaniSwali la kizushi lakini itakuchukua zaidi ya dakika 10 kujibu. Si rahisi kama unavyofikiria. Soma maandishi ya kwenye picha kisha shusha mtazamo wako hapo chini ya picha hii:
View attachment 457162
Dah... Ungekuwa na elimu ungetambua kuwa wote Ccm, CDM & Co wote ni magenge ya wapenda kula vya bure kwa kutumia kazi za midomoElimu ni nguvu ya akili/Yenye uwezo wa Kuliangusha JOKA KUU (LUMUMBA &CO).kwamfano Watanzania tungekuwa na Elimu tusingefika hapa tulipo.