Search results

  1. D

    Huyu jamaa n noma

    Mzinzi alihukumiwa kifo, lakini mahakama ikampa nafasi yakuchagua kifo gani afe, mzinzi akasema, nipeni k*ma yenye sumu niinyonye mpaka nife.... JAJI akasema, "kum*m*ko unataka ufe huku unapata raha?
  2. D

    Mitoto mingine kwakutopenda shule bwana

    MITOTO MINGINE KWAKUTOPENDA SHULE BWANA Baada ya mwizi kuvamia nyumba moja usiku na kuiba vitu vingi wakati akijiandaa kuondoka ghafla anadakwa mguu na dogo.. Dogo akamwambia mwizi usipochukua na begi langu la shule NAPIGA KELELE! mwizi akaduwaaa.
  3. D

    Ulevi noma

    Walevi waliokota kioo Mlevi mmoja: Kakitizama kioo kwa muda halafu akasema "Hii sura sii ngeni ila jina silikumbuki." mwenzie akachukua kioo kuangalia akasema: "We mlevi kwelikweli, si mimi huyu, halafu unajidai hunijui...? "Dah!...ulevi noma"
  4. D

    Mitoto mingine kwakutopenda shule bwana

    MITOTO MINGINE KWAKUTOPENDA SHULE BWANA Baada ya mwizi kuvamia nyumba moja usiku na kuiba vitu vingi wakati akijiandaa kuondoka ghafla anadakwa mguu na dogo.. Dogo akamwambia mwizi usipochukua na begi langu la shule NAPIGA KELELE! mwizi akaduwaaa.
  5. D

    Mijitu mingine bhanaaa...

    Kuna shoga m1 alikua bar anakunywa bia, mara akasikia nyimbo inaimba hv, "wanaume 2meumbwa mateso kuangaika" yule shoga akasema eheee niljua 2 ndio maana nikajtoa uko mapemaaa!!
  6. D

    Mbavu zangu jamani, teh,teh,teh....

    Baba alimuuliza mwanae nikikupiga huwa hasira zako unamalizia wapi? Namalizia chooni. Huko chooni unamalizia vipi? Huwa nasafisha tundu la choo kwa kutumia mswaki wako unaotumia kila siku! Baba kazimia mpaka leo!....
  7. D

    Unyama unyamani

    Madenge alikuwa kwenye basi lenye abiria wengi. majambaz wakawavamia na kuwapora simu na usipotoa "una chomwa sindano ya damu ya ukimwi" watu waka toa lakin madenge hakutoa akachomwa ile sindano watu waka muuliza mbona umekubali? akajibu" "WALIKUWA HAWAJUI KAMA NIMEVAA KONDOM.! ! ! ! !
  8. D

    Kweli hapa mke hakuna

    Mfanya kazi wa mochwari aliona maiti ina uume mkubwa, akaukata ule uume ili akamwonyeshe mkewe. Mkewe kuuona tuuu akatahamaki!!! Mungu wangu,ina maana fundi amekufa!!!!????
  9. D

    Wanotra nanywa makuuta!

    Ndani ya Hospitali ya vichaa. Muuguzi: Unaandika nini? Kichaa: Barua Muuguzi: Unamuandikia nani? Kichaa: Najiandikia mwenyewe. Muuguzi: Imebeba ujumbe gani? Kichaa: Heh, we chizi kweli, sasa mi nitajuaje wakati barua bado haijanifikia?
  10. D

    Namba ya majab MAN UTD (NO: 19

    19 titles, 19 win, 19 points, 19 goal and our last goal scored by jez NO: 19 ,DANY WELBECK, MAN UTD for life!!!
  11. D

    Kisa cha abunuasi na tamaa ya utajiri

    Basi hapo mwanzo abunuasi alibahatika kuwa na mbuzi jike hivyo basi akawa na fikra za kuwa tajiri hapo baadae kwani alijua kwamba ipo siku ambapo mbuzi wake angezaa na yeye angekuwa tajiri kwa kuwa na mbuzi wengi.Basi siku moja alienda nambuzi wake malishoni na wakati alipokuwa anatembea mara...
  12. D

    Je, wajua dawa ya kuzuia kutapika?

    Chukua maganda ya malimao changanya na iliki paamoja na pilipili manga kisha weka mchanganyiko huu ktk sufuria yenye maji kiasi kisha chemsha kwa dakika 10 na dawa itakua tayari. JINSI YA KUTUMIA: Kikombe cha chai x 2 kwa siku hapo utakuwa umekamilisha tiba.
  13. D

    Wakumbwelesha

    Vip wadau! eti ni kweli fomati ya mtihani form 6 imetoka?
  14. D

    Chaga zege

    Kuna mchaga alienda kwenye mgahawa kupata msosi wa mchana alipoulizwa aletewe chakula gani? akasema minataka machalari(ndizi) kilipoletwa akaanza kufakamia haraka avikupita hata vijiko vitatu akaanza kulamika kuungua MHUDUMU: vip nikuletee maji MANGI: nipoteze ladha MHUDUMU: meza basi ...
  15. D

    Naomba usaidizi wa nanilii....

    What are methods of semen collection in cattle?
Back
Top Bottom