Search results

  1. Steven Nguma

    Naomba kuja kuhusu soko la maziwa ya mbuzi

    Nawasalimuni kwa jina la Mungu, naomba kuuliza juu ya soko la maziwa ya Mbuzi likoje maana nataka kuanzisha huo ufugaji wa hao Mbuzi wa maziwa.
  2. Steven Nguma

    Natafuta Mbegu za miti ya matunda mbalimbali

    Habarini za kutwa, samahani naomba kuuliza. Kuna siku niliona tangazo humu la kuhusu mbegu za miti ya matunda mbali mbali. Muuzaji alisema yupo Morogoro, nilijaribu kuwapigia simu lakini bahati mbaya sikuhifadhi namba yao. Mwenye kumbukumbu naomba msaada tafadhali.
  3. Steven Nguma

    Nini maana ya wanyonge?

    Naomba kujua kwanini Raisi anapenda kutumia neno wanyonge? hili neno tafsiri yake ni nini?
  4. Steven Nguma

    Tunacho hitaji ni utaalamu wa mpira .

    Mechi za Simba na Yanga huwa zinakosaga mchezo wa kiufundi zaidi ni kukamiana,tuombe viongozi wa timu hizi wabadilike wazio ngoze timu hizi ktk weledi wa mpira badala ya mambo ya kizamani,ukiangalia mechi kubwa za South Afrika au Zambia unaona ufundi wa mpira sio hii butua butua ya hapa, mwisho...
Back
Top Bottom