Search results

  1. Harald Dad

    Hivi ni mkoa gani Tanzania unaongea lafudhi nzuri ya Lugha ya Kiswahili?

    Hivi ni mkoa gani Tanzania unaongea lafudhi nzuri ya lugha ya Kiswahili?
  2. Harald Dad

    Serikali imenitapali zaidi ya milioni 10

    Watanzania wenzangu naombeni ushauri wenu, hapa nilipo nimevurugwa vibaya sana kwa sasa kila ninalojaribu kufanya kwangu naliona kama halina tija tena kwangu. Hali hii imenijia baada ya kugundua kuwa serikali ya Tz ilinilaghai na kisha kunitapeli zaidi ya sh.milioni 10. Mara nyingi nawaza na...
  3. Harald Dad

    SERIKALI YA TZ IMENITAPELI ZAIDI YA MILIONI 10 TSH .

    Watanzania wenzangu naombeni ushauri wenu, hapa nilipo nimevurugwa vibaya sana kwa sasa kila ninalojaribu kufanya kwangu naliona kama halina tija tena kwangu. Hali hii imenijia baada ya kugundua kuwa serikali ya Tz ilinilaghai na kisha kunitapeli zaidi ya sh.milioni 10. Mara nyingi nawaza na...
  4. Harald Dad

    Jicho Pevu na Angavu

    Napenda kuwasalimu wana JF wenzangu habari za weekend na pia poleni sana kwa uchovu wa pilika pilika za wiki nzima. Bila kupoteza muda naomba nije moja kwa moja kwenye mada; Leo naomba niwaangalie dada zangu kwa jicho pevu ambao wanakaa tu hawataki kujishughulisha huku wakijinasibu eti...
Back
Top Bottom