Search results

  1. Da'Vinci

    Inaonekana Sheria za Fizikia hazitumiki kwa mbuzi!

    Mkuu kuna viEpisode nilikua navyo vya mbuzi wapo kwenye maporomoko. Yaani wanavyoruka na kupanda hayo maporomoko unaweza hisi ni visual effects. Walikua wanakimbizwa na Simba wa kwenye mawe (Puma?) walivyokua wanawakwep kwa kuruka juu ya mawe hadi utapenda
  2. Da'Vinci

    Tanasha (aliyekuwa mwanamke wa Diamond Platnumz) afanya surgery ya lips

    Sijapotea. Umenipotea wewe
  3. Da'Vinci

    Hivi ni kweli huyo mchumba, mume au mke ulonaye sasa hivi mlikutana humu JF?

    Jf imenipa vingi, natumaini itanipa mke Pia. Ila sema wamefunga pm
  4. Da'Vinci

    Kweli mapenzi yananenepesha

    Kwa mara ya kwanza maishani nilifika kilo 65 from 51 nikatoka hadi kitambi Kwa muda wa miezi 5. Tulivyoachana kilo zilirudi hadi 49. Nikawa nazidiwa uzito na mfuko wa cement
  5. Da'Vinci

    Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

    I'm watching BP 1 right now
  6. Da'Vinci

    Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    Ushalidha mifugo dogo?
  7. Da'Vinci

    Emotionless People: Ifahamu falsafa ya Stoicism

    Stoicism... Don't attach yourself onto anything
  8. Da'Vinci

    Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

    Kuna sauti ndogo afu kuna sauti mbaya... Mimi ninavyo vyote. Naishi kwa stress sana juu hili
  9. Da'Vinci

    Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    Ok. Kumbe una mambo yako pasono dhidi yangu. Keep it up
  10. Da'Vinci

    Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    Nasema game of throne nimeitazama zaidi ya mara mia. Nadhani inafika mara buku. Usiwe akili mgando
  11. Da'Vinci

    FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

    Daah mliopo dar huko mvua hainyeshi??
  12. Da'Vinci

    Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Ikawa usiku ikawa mchana, Vinci bado hajatajwa
  13. Da'Vinci

    Jukwaa gani ni pendwa kwako ndani ya JamiiForums?

    Jukwaa la JF Intelligence ndio lilinifanya nijiunge JF. Jukwaa hilo limenifanya niwe hivi nilivyo leo, na kama mbeleni nitakua zaidi ya hivi nilivyo basi ni kwa ajili ya jukwaa hili. Lina mchango mkubwa maishani mwangu. Ila kwasasa lishakufa
  14. Da'Vinci

    Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    Kichwani mwangu nishajiambia muvi yoyote kutoka japan juo iko bomba. Hata story nyingi za muvi z wazungu hua wanawaiga au kuchukua stori za wajapan. Anime zao mara nyingi hua ni kali sana hasa upande wa stori. Eg.. Ukiangalia Attack on titan hutatamani iishe... Very interesting
  15. Da'Vinci

    Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    Rhen I'll lay my eyes on to it... Thanks
  16. Da'Vinci

    Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    Ni nzuri inapendeza
  17. Da'Vinci

    Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    Juky we're watching mobi
Back
Top Bottom