Mitandao na baadhi ya vyombo vya habari ni wazushi, wanapenda kukuza mambo. Pia kuna baadhi ya watu wana mtimanyongo walishangilia uzarishaji uliposimama, eti kisa upinzani.Acheni roho za korosho kuweni wazalendo tuiombee nchi yetu mema. Pia tumuombee raisi wetu mpendwa.
Hivi kuboresha usafiri wa anga. Pia kukuza shurika letu la ndege kwa kuongeza ndege kubwa za kisasa nayo imekuwa nongwa?. Tuwe wastaarabu haipaswi kupinga mambo mazuri anayofanya Raisi wetu kisa upinzani. Anapofanya vizuri lazima tumpongeze.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.