Nadhani mtaniunga mkono kuwa wakati Mwl J.K.Nyerere anapata Uhuru wa Nchi hii alitangaza kuwa tunakabiliwa na maadui WATATU ambao ni, NJAA, UJINGA na MARADHI ila kwa bahati mbaya sana kwa mtazamo wangu na kwa watanzania wenye mtazamo kama wa kwangu ni dhahili mtakubaliana na mimi kuwa kwa...
Mkuu hapo red Wenje alimaanisha kuwa Viongozi wa Chama (CCM) na Serikali watoe Bolt machoni mwao ndiyo waanze kutoa vibanzi machoni mwa Askali, Nadhani ieleweke hivyo!
Leo Mwanasheria mkuu Ameamua kuonyesha msimamo wake kwa kuiponda CHADEMA juu ya maandamano na akatoa ufafanuzi wa Kisheria kuwa matokeo ya uchaguzi yanapingwa kwa kupelekwa mahakamani na SIYO kwa Maandamano.Ila Ameshindwa kutoa ufafanuzi wa kisheria inasema vipi juu ya Maandamano.
Nawasilisha
Wenje akichangia bungeni leo amesema afadhali alale Selo(Polisi) kuliko kukaa kimya huku nchi ikiliwa na wakubwa, Na kasema haoni kwanini traffic police akomaliwe kwa Tshs 20,000 wakati wakubwa wanakula mabilion,Ameonekana akirudia rudia sana kuapa kuwa HAKI YA MAMA.Mwisho kwapongeza Wabunge...
Utakuwa umeupatia ukubwani na mkopo hujamaliza ndo maana unaona kama ndiyo raha ya maisha kuliko kutalii!!!!
Samahani kama nimekukwaza naongelea hapo red!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.