Search results

  1. Kimolah

    Pump Gani naweza kufunga kumwaga maji mita 600 hadi 1000 kutika chanzo cha maji?

    Inategemea brand...kama una mtu unayemuamini mjini DSM muombe aende mitaa ya kisutu kwenye maduka ya mashine mbalimbali akakuulizie, au sogea Mwanza uliza upate Bei elekezi. Kuagiza china pia unaweza ingawa kwa scale ya 18acres utaingia gharama. Mwaka 2021 HP 24 ya kichina ilikuwa btn 6.5 to 9.0...
  2. Kimolah

    Pump Gani naweza kufunga kumwaga maji mita 600 hadi 1000 kutika chanzo cha maji?

    Diesel, 3 inches or 4 inches. Ingawa haujasema ukubwa wa eneo lako umesema umbali. Au tafuta engine ya "power tiller" (wengine huita kimondo ) ya horsepower 24 na pump ya inchi 6 suction ..then outlet unachonga bomba Y lenye reducing diameter mbili, unaweza chagua inchi 4 na inchi 2 , au 3 kwa...
  3. Kimolah

    Kumbe noti za shilingi elfu kumi kwa ujumla wake zipo trillion sita?

    Ikitokea ikachapishwa noti mpya ya say 15,000 au 20,000 shilingi za kitanzania, maana yake uchumi unazidi kudorora, inatakiwa thamani ya shilingi iimarike na kukua mpaka noti za 10,000 zitolewe kwenye mzunguko , turudi kwenye kutumia sarafu za shilingi 10,20 na 50. Then tuondoe 5000 na 2000...
  4. Kimolah

    Kumbe noti za shilingi elfu kumi kwa ujumla wake zipo trillion sita?

    Tusiwaige...ukiongeza 'nominal value' unashushia thamani pesa yako.
  5. Kimolah

    Mbona malalamiko mengi kwenye nyumba za kuficha Bati (Hidden Roof), Mafundi wanakosea nini hadi zinavuja?

    Contemporary roofing style ina mahesabu fulani ambayo kama yakikosewa mfumo mzima wa paa hautakuwa wa ufanisi ..will fail during rains. 'span' ..slope, overlapping, joints ..canopy, proofing etc ..ni mfumo ambao unasave material ( mbao na mabati) una muonekano mzuri ..ila unahitaji ujuzi wa...
  6. Kimolah

    Waliopitia mafunzo ya JKT wanahitajika

    Nashukuru wapo mnao nielewa, sijatangaza malipo bado, nimetafakuri na kushirikisha fursa iliyopo na namna inaweza tumika kutuzalishia ajira na kipato.
  7. Kimolah

    Aliyevamia Kiwanja cha mwingine kwa miaka 20 Mbezi Africana avunjiwa ghorofa

    In another words sababu anatajwa kuhusika kesi nyingi hii wamemfanya wa mfano?
  8. Kimolah

    Sidhani kama kuna series kali kushinda Game of Thrones?

    Aisee that's what happens, hata mimi nilijaribu episode ya kwanza nikaona ni Nini hiki nikaacha..siku nikakuta a friend anaangalia season 3 ..nikaenda itazama tangu season 1, I binge watched ..na ina spin off series inaitwa "better call Saul" .. Breaking Bad kuna muda inakuwa kama "lost" inaenda...
  9. Kimolah

    Waliopitia mafunzo ya JKT wanahitajika

    Napokea maoni mdau hustler. Unaona ni wengi au wachache?
  10. Kimolah

    Waliopitia mafunzo ya JKT wanahitajika

    Hewaaala, nami ndio napita na mawazo kama haya, nilishawahi kuwa na vijana wachapakazi kabisa ila kama ulivyosema the moment you are away kufanya kazi zako zingine, nao off they go to centre .., ukiwepo machines are working properly, ukirudi mjini siku mbili ya tatu simu inaita pump imefanya...
  11. Kimolah

    Waliopitia mafunzo ya JKT wanahitajika

    Naona wachangiaji baadhi kwa hulka ya tabia zao wanajaribu kujieleza kupitia uzi huu, kipaumbele Cha wanawake haimaanishi wanaume hawatapata nafasi, hekari nne nilizotaja ni za kuanzia,Kuna shamba la hekari 28 na shamba kubwa zaidi, hili la kuanzia shughuli itakuwa kilimo cha muda wote bustani...
  12. Kimolah

    Waliopitia mafunzo ya JKT wanahitajika

    Hapana, angalau wana decipline na focus kidogo ya kazi kiuzalishaji , nilishafanya na graduates, na waliopitia vyuo kama liti, sua ..nimeona nijaribu hao wa JKT.
  13. Kimolah

    Waliopitia mafunzo ya JKT wanahitajika

    Vizuri sana, shikilia maono
  14. Kimolah

    Waliopitia mafunzo ya JKT wanahitajika

    Polee kwa kuharibiwa akili na marehemu , Mimi kama muhitaji naona waliopita JKT watanifaa, wewe unayeona halina haja ya aliyepita JKT pia una haki na uwezo kufanya utakalo ona linakufaa.
  15. Kimolah

    Waliopitia mafunzo ya JKT wanahitajika

    Habari wanajukwaa, katika kufikiria mbinu na namna ya kuboresha na kufanya ujasiriamali kupitia kilimo na ufugaji nimewaza na kupanga kupata vijana waliopitia mafunzo ya JKT (either kwa mujibu wa au wazalendo), walio na utayari, kwa kuanzia shamba dogo (heka 4 ) lililopo wilaya ya Mvomero...
  16. Kimolah

    Serikali yadai uhaba wa Chuma umesababisha kupanda bei ya Misumari na Nondo

    ..na badoo hatujaseeema...mpaka tuseeme! [emoji1] Just imagine tuna uhaba wa chuma ghafi na huku chuma tunacho hapahapa, ni kweli uwekezaji wa kukichimba ni mkubwa , sio kwamba hatuwezi, sera na mipango ni tofauti na vipaumbele.
  17. Kimolah

    SGR Isaka-Mwanza Yafikia Asilimia 44.25

    Km 341... Madaraja 600.. okaay!
  18. Kimolah

    Nina huzuni sana, mume wangu kaniaga anaenda Nairobi kikazi, nilipomfikisha Airport kasema nimdrop Terminal ll

    Ungeangalia flight number kwenye zile screens, au hukushuka kumsindikiza departure "kumuwaawu" goodbye?! .. next time muombe ticket yake ujithibitishie anakokwenda ..or else labda tu unahisi unatendwa kama vile unavyotenda wewe ..just speculating.
  19. Kimolah

    Rais Samia akikupa mualiko Ikulu wa dakika 5 utamshauri nini kama kijana wa kitanzania?

    Hapo kwenye umpongeze hiyo njia sipitagi ...hizo dakika za pongezi nafupisha tu shikamoo mama, naenda kwenye ushauri.
Back
Top Bottom