Search results

  1. M

    Nataka kubadilisha kioo display ya simu ya samsung A30

    Ndugu zangu habari za muda huu? Naomba niende moja kwa moja kweenye mada. simu yangu ya sammsung a30 imeanguka na kuharibika kioo yaani display. Kwa sasa simu imevujia wino na kioo ni cheusi hakioneshi kitu. hivyo, nalazimika kutaka kuibadili display ili simu yangu ipate kurudi katika ubora...
  2. M

    Changamoto kwenye mahusiano na watu wenye ulemavu. Changamoto na nini mtazamo wa wanajamii juu ya mahusiano ya aina hii

    Kwanza kabisa, naomba nitangulize shukrani kwa kupata nafasi hii ya kulitumia jukwaa hili kuanzisha mjadala huu. Nimeamua kuanzisha mjadala huu kama sehemu ya namna ya majadiliano ya wana jamii kuhusu masuala yanayotuhusu na pengine michango itakayotolewa iwe na manufaa kwa wanajamii kwa ujumla...
  3. M

    Taasisi zipi zinatoa mikopo au ufadhili wa elimu ya juu hapa Tanzania?

    Habari za muda huu ndugu zangu watanzania. kutokana na changamoto zinazoletwa na uwezo mdogo wa bodi ya mikopo kwa elimu ya juu, napenda kufahamu ni taasisi ipi inayoweza kutoa mkopo au ufadhili kwa mwanafunzi anayetaka kusoma elimu ya juu hapa Tanzania hasa program za masters au phd? a nasubiri...
  4. M

    Pongezi kwa JamiiForums kutoka kwa sisi watumia visoma screen (screen readers)

    Mimi ni mmoja wapo wa watuu wasioona tunaoutumia mtandao huu kwa muda sasa. Nikiri kwamba umekua chanzo changu kikubwa cha kuhabarika na kuelimika. Jf imekua ni mtandao au tovuti bora kabisa Tanzania linapokuja suala la accesibility features kwa watumiaji kama sisi tusioona na wenye uoni hafifu...
  5. M

    Natafuta marafiki walio musoma

    NAwasalim wandugu. Mimi kwa sasa niko musoma natafuta marafiki walio musoma tufahamiane. Mimi ni mwanaume umri miaka 25 ni mwajiriwa serikalini. Nitafute pm au kwa e mail jerryrobson55@gmail.com
Back
Top Bottom