Search results

  1. Kisebengo Kibobori

    Polepole wewe ndio msemaji wa Serikali?

    Mange akili kubwa... Polepole huyu hawez kujibu hoja za Mange hata siku moja labda polepole wa kipind kile cha katiba
  2. Kisebengo Kibobori

    Tajiri namba Moja Duniani, Bill Gates azuru Tanga leo

    Jeff Bezos Overtakes Bill Gates To Become World's Richest Man . Kichwan umejaza mashudu kama ID yako ilivyo
  3. Kisebengo Kibobori

    Tajiri namba Moja Duniani, Bill Gates azuru Tanga leo

    He is not number one anymore... Keshapitwa na fala mmoja hv ndio anaongoza sahv... Gate ni wa pili
  4. Kisebengo Kibobori

    Ukikubali kuoa mwanamke kwa ajili ya makalio kubali ndoa yako kutikisika kama yanavyotikisika makalio

    Ungetuwekea sample tuone namna yanavyotikiswa wengne bila picha hatuelew
  5. Kisebengo Kibobori

    MUSIC VIDEO PRODUCTION

    Kama kuandika tu msanii unashindwa hyo video sijui itakuaje
  6. Kisebengo Kibobori

    Nasubiri kwa hamu kuona Twitter ya rais Magufuli ikimpongeza Uhuru Kenyatta!

    "On behalf of myself and people of tz I congrats prez Kenyatta..." Hahahahhh hyo tweet itatawaliwa na vichambo kutoka kwa wakenya hataamin
  7. Kisebengo Kibobori

    CCM imepoteza fursa ya kumshauri rais?

    Hiyo kaz wamemuachia bashite ndio maana hata maamuz yake mengi yanaharufu ya uzero brain
  8. Kisebengo Kibobori

    Wazee wa kujilipua kimaisha (risk takers) kwa style tofauti tukutane hapa!

    Hiyo siku nlio bend over changudoa pekupeku was the greatest risk I've ever took in my life
  9. Kisebengo Kibobori

    Wachezaji 100 bora wa muda wote watajwa

    Maajabu haya cr7 kuwa juu ya gaucho tena juu hasa??? Waliotuletea hii orodha wakapimwe mikojo
  10. Kisebengo Kibobori

    Wanaume wa Dar acheni ushamba kwani kipi cha ajabu hapa?

    Yaaan kujimek kooote kumbe bajet ni 150k duuuh!!? Yaan nkibakiwa na hyo pesa natulia zng tu hom maana hata confidence huwa inapungua
  11. Kisebengo Kibobori

    Mahakama Kuu imetupilia mbali leo maombi ya dhamana ya Yusuf Manji

    WTF mbona huo msumeno kwa bashite unamapengo au usu-**** ndio special exceptional???
  12. Kisebengo Kibobori

    Wale wachepukaji wenzangu

    Mwanaume unaweza kuchepuka na mwanamke yoyte yule anaeweza kusababisha dudu lisimame regardless ni mzur au mbaya kuliko mkeo... Lkn kwa mwanamke ni tofaut kidogo wao wanachepuka na mtu ambae ana uwezo wa kumreplace mume wake kulingana na kitu ambacho anakihitaj kwa wakat huo either pesa mapenz
  13. Kisebengo Kibobori

    Mbowe, Zitto Kabwe na Lowassa tafuteni cha kufanya its over!

    Mtoa mada inaonekana hujakazwa siku nying mpaka sasa umelegea mawazo
  14. Kisebengo Kibobori

    Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Aongee nn sasa wakat jalada tayar liko mahakaman???? Unadhan kila mtu anaropoka hovyo tu kama anavyofanya salome wa magu???? Usidhan siku zote hzo tangu atoke ni ww tu ndio hujamskia... Weng hatujamskia akiongea lolote lkn hakuna alieinua kisim kuhoji kwa nn haongei tena coz tunajua kwamba jambo...
  15. Kisebengo Kibobori

    Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia

    Kama gari limecharangwa namna hyo... Hyo miili ya hao marehemu inatazamika kweli...? Bwana ametoa na Bwana ametwaa Kina lake lihimidiwe... Amina!!!
  16. Kisebengo Kibobori

    Kuwa halisi kwenye Uchumba

    Tulikua na kashem ketu flan hv kanatokea hukoo kanda ya ziwa... Broo alikua amezama ile ile na kiukweli she was vr innocent mkarimu na wife material kwa muonekano... Kuna siku nlipta maeneo kumchek bro nkamkuta nkaakaa nae kidogo nkaona anaongea sana na simu mda mrefu halaf anaongea kilugha...
  17. Kisebengo Kibobori

    Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Kwa ufaulu huo ulistahili kudisco kabisa hvyo kama utapata fursa ya kusupp itumie vzr... Relax hzo ni challenge tu za maisha huwez kuzikimbia hzo maana hata huku mtaan ukileta ujuaji maisha yatakupiga supp mapenz yatakupa supp kila kitu kitakupga supp kinachotakiwa ni kujikaza usiwe na moyo...
  18. Kisebengo Kibobori

    Jinsi shoga yangu "kibamia" kilivyomuokoa na kifo

    Ulivyosimlia hii story ni kama imekukuta ww vile...[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
  19. Kisebengo Kibobori

    Umauti Nisiri pekee Anae ijua Mungu

    Hakuna ajuae siku wala saa... Kwa Mungu yote yanawezekana hata kupona inawezekana... Jehovah tenda muujiza Jina lako Takatifu litukuzwe... °°°°°°°°°°Amen°°°°°°°°°°°
Back
Top Bottom