Search results

  1. D

    Hatimaye maigizo ya Makonda yamchosha Mama

    kaongea ukweli sana ila kuna watu hawampendi makufuli
  2. D

    Hatimaye maigizo ya Makonda yamchosha Mama

    Makonda hakujua, kufanya kazi na mama ni sawa na kufanya kazi na baniani
  3. D

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    inasikitisha sana kumteremsha cheo Makonda, kweli ccm inawenyewe, na ukuu wa mkoa wamemuheshimu ila stering wa mama anataka kumuondoa akakae bench kamtetea sana makufuli
  4. D

    UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

    miujiza ni Quraan maneno hayajabadilishwa na yanawasumbua wakristo sana
  5. D

    Kadogosa: Asilimia 70 ya Ujenzi wa SGR umefanywa na awamu ya 6

    Maana yake Magufuli yupo haikafanya asilimia 30 kashindwa na mama yupo asilimia 70
  6. D

    Kadogosa: Asilimia 70 ya Ujenzi wa SGR umefanywa na awamu ya 6

    umeoongea utumbo na sio weww ni ccm chawa kila siku awamu ya 6 ya mama kapiga aslimia 80, bado imefeli awamu ya 6 unafikiri jpm angekuwa hai miradi yoote sasa hivi ingekuwa imeisha na kuna miradi mipya kaazisha, mwenye miradi kafariki mnataka ashindane na mama yupo hai
  7. D

    KERO Vispika vya matangazo vimekuwa kero kubwa kwenye masoko, mamlaka ipige marufuku

    kwa sababu wewe ni mchawi na msikiti unakuumbua kwa uchawi wako
  8. D

    KERO Vispika vya matangazo vimekuwa kero kubwa kwenye masoko, mamlaka ipige marufuku

    dubai ni soko kubwa sana duniani lakini hawatumii spika kufanya biashara, tanzania huwezi kumkuta mwarabu au muhindi anafanya biashara yoyote akitumia spika hii ni sisi tu ifike wakati sasa TRA ikusanye kodi ya kila spika na sisajiliwe ziwe na namba kila mwaka unalipia na kwa mwezi elfu 15000/
  9. D

    Simulizi: Umalaya na Ukahaba wa Kishua

    kahaba ni neno la kiarabu lina maana ya mhuni wa kijiuza. malaya ni neno la kiswahili lina maana ya mhuni wa kujiuza. ndio maana zamani kulikuwa na spana ya baikeli inaitwa spana malaya kokote inafungua
  10. D

    Naingia kwenye maombi ya kumzuia Putin asiiangamize Dunia, maana amekasirika Sana!

    wewe ni shabiki wa mpira hujui chochote, huijui russia hujui stock yake ya silaha zipoje, magaidi wamekamatwa kwa masaa 4 tu tangu walipouwa watu 140 na wakashikwa kwa masaa 4 tu ingekuwa FBI au CIA INgewachukua miezi 6mpaka mwaka kuwakamata magaidi
  11. D

    Leo kinafanyika kikao cha baraza la Mawaziri; unadhani wakuu wa taasisi watabaki salama au kuna pangua pangua inakuja?

    anatolewa huku ana pelekwa kule wa kule ana letwa huku hakuna jipya wala majina mapya wamemzidi mother akili
  12. D

    Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

    mimi ni mkristo safi ila wiki hii naenda kusilimu niwe muislimu ibada ya kuchanganyika na wanawake ibada ya kwaya imenichosha hata mungu kachoka
  13. D

    DOKEZO RC na RPC Dodoma, Polisi Jamii Kata ya Nala anatunyanyasa sana, tafadhali muondoeni

    makonda aliisha wambieni mnamatatizo nendeni ofisi za chama wakishindwa nendeni makao makuu mkamuone hata hili nalo mnashindwa
  14. D

    Awamu ya Tano Matajiri waliishi kama mashetani, pesa zao ziliporwa, Bureau De Change zilifungwa, wakabambikwa kesi nzito

    sasa hivi matajiri awamu ya 6 wanaishi kama wafalme wanafanya wanavyota wanapandisha bei ya vitu bila kujali serikali mafuta ya magari wao ndio wapandishaji sukari ni wao mafuta ya kula ni wa matajiri wanaishi awamu hii kama malaika ardhi wanajimilikisha vituo vya mafuta yametapakaa mpaka...
  15. D

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    yesu alilia msalabani na hali yeye ni mungu itakuwa mkuu wa majeshi usicheze na uchungu chozi litatoka huwezi kuzuia
Back
Top Bottom