Search results

  1. S

    Nafasi ya kazi ya ulinzi Dar es Salaam, Dodoma na Arusha

    NAFASI ZA KAZI YA ULINZI (NAFASI 30) KITUO CHA KAZI: DAR ES SALAAM/DODOMA/ARUSHA SIFA ZA MUOMBAJI Awe Mtanzania. Awe na Umri zaidi ya miaka 18. Awe amepitia mafunzo ya Ulinzi, JKT, Mgambo. Awe na Urefu wa Futi 6 na kuendelea. Awe tayari kufanya kazi Mahali Popote Tanzania na hasiwe na historia...
  2. S

    Chumba self container

    Natafuta chumba maeneo ya rombo, kona na baruti, kiwe self container na sehemu ya kupikia. Contact 0766767202
  3. S

    Je CHADEMA inatosha kwa 2015?

    Asilimia kubwa ya vijana tuna amini ya kwamba mwaka 2015 chadema itashika nchi baada ya kuchoshwa na utawala mbovu wa chama cha mapinduzi, Ahadi hewa na kukosa matumaini na ccm kutupatia maisha bora. Swali la msingi kabisa tujiulize je CHADEMA wamejianda kweli kushika dola, wanautofauti gani...
  4. S

    Printing, designing, publication, advertisement program and supplies of office equipment.

    Dama media limited. Pata huduma zifuatazo. . Printing stickers, Banners, Wheelcover, T-shirts, caps and Car Branding, Business cards, Postcards, flyers, folder, Booklets, Posters. Email: sales@damamedia.co.tz vist: www.damamedia.co.tz +255222771035/ +255222771050/ 0688417731
  5. S

    Vijana na ufinyu wa kufikiri.

    Baada ya mh shibuda kutangaza kugombea uraisi 2015, kupitia chadema na kusema Dr slaa awe meneja kampeni wake. Mwenyekiti wa bavicha bwana heche alijitokeza na kumpinga bwana shibuda kwa madai kwamba anavuruga chama. Lakini tujiurize je nikosa mtu kutangaza nia yakugombea urais, pia bwana...
  6. S

    Je we ungefanya nini?

    Kuna demu nasoma naye chuo nilimtongoza mara ya kwanza nakumuomba mapenzi yawe siri akakata akadai hawezi kuwa na mapenzi ya siri nikaachana naye. Baada ya mwezi akanirudia mwenyewe nakuomba tuendelee namapenzi kama kawaida. Baada ya wiki moja na mzigo nimekula rafiki yake ananishanga nawezaje...
  7. S

    Gamba la watanzania.

    KWAKUWA GAMBA LA CCM NI MAKAMBA NA MAFISADI. NA TAYARI WAMESHALIVUWA, BASI GAMBA LA WATANZANIA NI CCM YENYEWE, TUNA KILA SABABU YA KULIVUA. WATANZANI HAWATAKUWA SALAMA BILA KILIVUA KAMA LILIVYO VULIWA GAMBA CCM.:teeth::panda:
Back
Top Bottom