Search results

  1. Chillah

    Mfumo wa ajira za Serikali umejaa Ruswa

    Hapo ilemela ni afisa mtendaji kata ndio anapokea rushwa? Kama ndio ni wakata gani?
  2. Chillah

    Muungano: Simba atakuwa Bingwa kwa kucheza mechi 2 tu, hii nchi vituko haviishi

    Kombe la vilabu duniani, Man City alicheza mechi ngapi? Nawenzie walcheza mechi ngapi?
  3. Chillah

    Wakili anayedaiwa kuyatetwa Makampuni yanayokopa na kukwepa kulipa Mabilioni ajitetea

    Huyu wakili tumtumie ktk kesi zetu huko ughaibuni...!
  4. Chillah

    TAKUKURU yakamilisha uchunguzi wa DED aliyedaiwa kwenda China kwa fedha za Halmashauri

    Babati maamuzi yalitoka mapema huku taratibu zingine zikifatwa Mafia maamuzi yalitoka mapema Hulu taratibu zingine zikifatwa/fata Huku NAzani maamuzi yalikuwa kumsogeza sehemu nyingine ili asije athiri uchunguzi, japo wananchi walitamani maamuzi ya kuwekwa Kando Kama yalivyofanyika kwa wengine...
  5. Chillah

    Nauza taa za solar

    Watt?
  6. Chillah

    Nauza taa za solar

    Muonekano wa. Unacho kiuza kwanza
  7. Chillah

    Je, unaamini katika kuwekeza? Nina wazo la biashara kuanzia 10/20m ( kuuza unlimited internet buku tu kwa siku mteja atatumia hata gb 500 yeye tu

    Hii biashara kama huna namna ya kuzuia mtu unae Muuzia kusambaza kwa mwingine basi hakuna kitu hapa Mfano nikiwa na laptop yangu naweza gawa Wireless nyumbani kwa familia au ofisini au mtaani kwa wadau kwa buku niliyolipia...! Una wezaje kuboresha ulinzi wa huduma ili iwe kwa aliyelipia , yani...
  8. Chillah

    Mzee Hashim Rungwe: Makonda anataka awe chawa mkuu wa Rais Samia, analazimisha asikilizwe yeye sana

    Waha ndio chawa wakuu kuanzia kwa CMG mpaka wa Wasafi utawakuta... na yeye anajisogeza taratibu kila apato nafasi
  9. Chillah

    Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

    Wapo Zimbabwe 🇿🇼 wana chapa kazi, Ebu wafatilie huko utupe mrejesho
  10. Chillah

    Nafasi ya Programme Meneja -Ubalozi wa Uingereza Mshahara 5.5M kwa Mwezi

    Posho/mshahara kwa nafasi husika ya umeneja ktk taasisi yao haiendani kabisa Wewe una sema taasisi nyingine! Nami nikutajie taasisi nyingine ili mjadala uwe mrefu??
  11. Chillah

    RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa

    Ccm oyeeeeeeeeeeeee!
  12. Chillah

    Nafasi ya Programme Meneja -Ubalozi wa Uingereza Mshahara 5.5M kwa Mwezi

    Posho na nafasi haviendani kwa taasisi kama yao ni kama euro 2,000.00
  13. Chillah

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Safari ya kolimba ina fanana na safari ya makonda? Safari ya Maarim kupanga njama unazani ilikuwa ni ndogo? Kuliko ya kolimba? Ndio sababu ya jumbe kukaa kizuizini!
  14. Chillah

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Walikuwa wapi kumuita akiwa ktk mikutano ya chama wakati ana sikiliza wananchi na kero zao? Na mama akasema kuwa amekiamsha chama, pamoja na kuonekana alikuwa ana dhalilisha watu majukwaani na alikuwa anafanya majukumu ya kipolisi, mahakama, serikali nk
  15. Chillah

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Chama hiki hakina mwenyewe! Chama chenye wenyewe ni CDM, NCCR, TLP, Chauma, cha bwana dovutwa nk Ccm sio chama cha mtu...!
  16. Chillah

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Mkenge mlioingia utakuja kuwaacha midomo wazi Jiulize kwann watu wametawanyika wengine musoma, wengine kule (nchimb) wengine kule (jokt) huku (ally) nk Siasa ni sayansi! Subiri ujue kitakacho kuja tokea
  17. Chillah

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Vipi Safari ya askofu gwajima? Vipi Safari ya marehemu membe? Vipi Safari ya maarim seif? Tuongeze list
  18. Chillah

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Hamna kitu hapo! Tuna rejesha chama hewani, Mbinu za kivita hizo! Watu wamesha ingia mkenge tayari
  19. Chillah

    Anayejua shule ya sekondari inayomilikiwa na masisita Arusha

    Ilianza kama utani hii shule...!
Back
Top Bottom