So wataka mpaka internet ifungwe ndo uamini ni dikteta? Uhuru wa kutoa maoni upo? Waweza elezea why maandamano kibao ya kupongeza serikali yanapewa baraka lakin Yale ya kuipinga hata kwa Aman yanakataliwa? Waweza elezea kwanini yule mkurugenzi wa twaweza kanyanganywa hati ya kusafiria ? Me naona...
Kwa uelewa wako Jiwe hajahusika kwenye huu muswada? Please tumia common sense basi.. au na wewe ni mmja wa wale mlioamin yeye alienda kutatua swala la kikokotoo mwanzon hakuhusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah akili zenu nyie watu... Kwahyo hela zetu za Kodi zinatumiwa kuwakomesha kina nape? Na wewe unashangilia?? Hv ushapiga hesabu kama hela iliyotolewa na serikali na idadi ya tani wanazodai kununua kwa shs 3300/ per kilo vinaendana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu upumbavu hua mnaandika kwa sababu gani.. hivi nyie watu mnaishi nje ya uhalisia wa watanzania? Wapi kufungua file 2000? Na hizo billion 1.5 Kila wilaya ni hospital ngap zimejengwa mpaka Leo wakat ni mwaka wa tatu wa awamu hii? Hivi huu upumbavu wa kusifia sifia ni kwa ajili ya Nan? Si Bora...
Magufuli is a con artist,he doesn't practise what he preaches, scared of criticism, lacks emphathy, clearly potrays favourtism. If he is such a great leader why is he so scared of criticism
Basi why did you read the article in the first place? Kama hauziamin, I find it funny you can read an article just to argue with it rather than keep an open mind
Kiongozi wangu ni nani umeambiwa me ni mwanachama wa chama chochote cha siasa? So kisa wewe wamtetea Magufuli lazima uwe ni CCM? Wewe uliyemintroduce kikwete kwenye article ambayo haijamtaja ulikua hauamishi magoli
Sina ndugu wala jamaa kwenye suala la vyeti feki, nimeongelea mapungufu mbalimbali ya magufuli zipo nying zaid sema nimeona ntaandika jarida, not everyone akiongelea kitu kimemgusa personally wengne hatupendi tu uonevu
Suala la makinikia limeishia wap? Mnatoka kudai trillions of money mnapewa a promise of billions bila kuambiwa due date ya hiyo hela na hauoni that is shaky and unclear
Dah aisee unafurahisha na kusikitisha kisa naongelea suala la vyeti feki ina maana me muathirika wake, why nsiwe muathirika wa ubomoaji kimara? Au jina langu liwe limetajwa kwenye madawa ya kulevya?
The art of illusion is fascinating, huyu mnayesema anafight wizi so far
1. Kaanzisha mahakama ya fisadi iliyokosa kesi mpaka leo
2. Showed immense double standards kwenye suala la vyeti feki.
3. Claimed to fight drugs whilst it was merely a witch hunt and so far the "fight" imekua kupeleka wema...
Kwani hapa ipo article gani? It's weird how when Magufuli is criticized people either bring up Kikwete's name or mention so called agendas against Magufuli rather than discussing the actual opinions brought foward.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.