Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,144
- 144,652
Siku zote unapofanya maamuzi yasiyo sahihi, ni wasaidi wako ndio ambao mara nyingi hutupiwa lawama kwa maelezo kuwa hawakukushauri vizuri ingawa sisi wengine huwa tunapingana na mtazamo huu kutokana na jinsi tunavyokuona.
Sasa katika hili sakata la korosho, kila mtu ni shahidi kuwa, maamuzi yako ndio yametufikisha hapa tulipo kwani ulikataa mbele ya akadamnasi kuruhusu wafanyabiashara kununua korosho hivyo kwa hili lawama zinakwenda kwako moja kwa moja na kwasababu hiyo, tunaomba uwajibike kwa kujiuzulu au uombe radhi kwa maamuzi uliyoyafanya.
Unapowajibisha wengine, na wewe uwe tayari kuwajibika pale unapokosea hata kwa kuomba radhi tu, na ukifanya hivyo, utakuwa umeonyesha mfano wa uwajibikaji kwa walio chini yako.
Charity begins at home na kuongoza ni kuonyesha njia.
Walk the talk.