Democracy under assault: Tanzania’s rogue president - The Economist

Kama unasema article ya Economist nimeielewa sana na ndiyo maana nimemwambia aliyeileta hapa kuwa kasahau na inayomuhusu mwalimu Nyerere na ukiangalia katika comment yangu nimemalizia kwa kusema watu ama viongozi wazuri kwao ni wale waliorahisisha wizi wa mali ya asili zetu ulioidhinishwa na sheria rafiki na wezi. Ila ninadhani wewe hujanielewa.
The art of illusion is fascinating, huyu mnayesema anafight wizi so far
1. Kaanzisha mahakama ya fisadi iliyokosa kesi mpaka leo
2. Showed immense double standards kwenye suala la vyeti feki.
3. Claimed to fight drugs whilst it was merely a witch hunt and so far the "fight" imekua kupeleka wema mahakaman kwa msokoto wa bangi the actual kingpins hawajaguswa.
4. Weka double standards again kwenye uvunjaji wa nyumba
5 . Ishu ya makinikia his so claimed biggest win against corruption and embezzlement ameshindwa pata ile hela and the matter has been resolved in shaky and unclear agreement.
6. Alikua anaclaim wapiga dili na wasiotaka lipa kodi ndo wanalalamika vyuma vimekaza now anaanza claim TRA imekua inawa overcharge watu,ina maana hakuelewa what people were actually complaining about.
 
Kwani hapa ipo article gani? It's weird how when Magufuli is criticized people either bring up Kikwete's name or mention so called agendas against Magufuli rather than discussing the actual opinions brought foward.
Kwani Kikwete ni nani asitajwe? Mbona katika hiyo article Nyerere katajwa ama hujaisoma? Mtoa mada kawaambia nendeni mkaisome ninyi mmezoea kuwekea hapa kila kitu ama wavivu wa ku research mnasubiri article ije kama inamsema Magufuli basi mnafurahia na mnaanza kuichambua na kushereheka mkidhani Magufuli ndiye ataumia matatizo yakianza. Wenzenu Wazimbawe wakiongozwa na kibaraka Hayati Morgan walipita huko nje wakiomba Zimbabwe inyimwe misaada ama iwekewe vikwazo sina hakika kama vikwazo vilimuathiri Mugabe.

Hawa watu hawana mapenzi yoyote na ninyi hawa ni kama wanawake Malaya hakuna penzi ni pesa yako, na hao hakuna kuwaonea huruma ninyi wao wanataka rasilimali zenu tu kwa njia yoyote hata kuwaanzishieni vita.

Nawafahamu sana ninaishi nao.
 
The Economist: How to save Tanzania

THE white beach of Dar es Salaam may seem enticing. Yet the bodies that have washed up on it, almost in sight of the city’s glistening offices and hotels, are a sign of Tanzania’s sickening lurch to despotism. Opposition politicians are being shot; activists and journalists are disappearing.

Until recently Tanzania’s political stability drew investors and donors, spurring one of the fastest sustained streaks of economic growth in Africa. But John Magufuli, an authoritarian and erratic president in his third year in office, threatens to undo much that Tanzania has achieved over the past few decades. The rest of Africa, and the world, should not keep quiet.
 
Kwani Kikwete ni nani asitajwe? Mbona katika hiyo article Nyerere katajwa ama hujaisoma? Mtoa mada kawaambia nendeni mkaisome ninyi mmezoea kuwekea hapa kila kitu ama wavivu wa ku research mnasubiri article ije kama inamsema Magufuli basi mnafurahia na mnaanza kuichambua na kushereheka mkidhani Magufuli ndiye ataumia matatizo yakianza. Wenzenu Wazimbawe wakiongozwa na kibaraka Hayati Morgan walipita huko nje wakiomba Zimbabwe inyimwe misaada ama iwekewe vikwazo sina hakika kama vikwazo vilimuathiri Mugabe.

Hawa watu hawana mapenzi yoyote na ninyi hawa ni kama wanawake Malaya hakuna penzi ni pesa yako, na hao hakuna kuwaonea huruma ninyi wao wanataka rasilimali zenu tu kwa njia yoyote hata kuwaanzishieni vita.

Nawafahamu sana ninaishi nao.
Kama una amin sa hv watu hawaibi then you are naive
 
The art of illusion is fascinating, huyu mnayesema anafight wizi so far
1. Kaanzisha mahakama ya fisadi iliyokosa kesi mpaka leo
2. Showed immense double standards kwenye suala la vyeti feki.
3. Claimed to fight drugs whilst it was merely a witch hunt and so far the "fight" imekua kupeleka wema mahakaman kwa msokoto wa bangi the actual kingpins hawajaguswa.
4. Weka double standards again kwenye uvunjaji wa nyumba
5 . Ishu ya makinikia his so claimed biggest win against corruption and embezzlement ameshindwa pata ile hela and the matter has been resolved in shaky and unclear agreement.
6. Alikua anaclaim wapiga dili na wasiotaka lipa kodi ndo wanalalamika vyuma vimekaza now anaanza claim TRA imekua inawa overcharge watu,ina maana hakuelewa what people were actually complaining about.

Nimeshagundua wewe ni muathirika wa vyeti basi mkuu.

Umelewa ulichokiita doble standard? Kama ungejua hilo basi ungeelewa maana yangu ya kutowasikiliza economist. na nimeweka mifano hawa ni ma master kwa double standard kuliko Magufuli.
 
Dah aisee unafurahisha na kusikitisha kisa naongelea suala la vyeti feki ina maana me muathirika wake, why nsiwe muathirika wa ubomoaji kimara? Au jina langu liwe limetajwa kwenye madawa ya kulevya?
 
...5 . Ishu ya makinikia his so claimed biggest win against corruption and embezzlement ameshindwa pata ile hela and the matter has been resolved in shaky and unclear agreement...
Hiyo "shaky and unclear agreement" uliiona wapi? Hebu tuwekee hapa tuione.
 
Nimeshagundua wewe ni muathirika wa vyeti basi mkuu.

Umelewa ulichokiita doble standard? Kama ungejua hilo basi ungeelewa maana yangu ya kutowasikiliza economist. na nimeweka mifano hawa ni ma master kwa double standard kuliko Magufuli.
So economist kua na double standards ina justify rais kua na double standards?
 
Kama una amin sa hv watu hawaibi then you are naive
Tatizo lako wewe unadhani mimi ninamtetea magufuli kwa kila jambo, kuna vyombo vya abari ambavyo havipo bias vingeandika hii habari wala nisinge comment lakini hiki kijarida cha economist siwezi hata siku moja kukichukulia serious.
 
Hiyo "shaky and unclear agreement" uliiona wapi? Hebu tuwekee hapa tuione.
Suala la makinikia limeishia wap? Mnatoka kudai trillions of money mnapewa a promise of billions bila kuambiwa due date ya hiyo hela na hauoni that is shaky and unclear
 
Tatizo lako wewe unadhani mimi ninamtetea magufuli kwa kila jambo, kuna vyombo vya abari ambavyo havipo bias vingeandika hii habari wala nisinge comment lakini hiki kijarida cha economist siwezi hata siku moja kukichukulia serious.
Kama hukichukulii serious then why did you comment in the first place? Na pia naomba ntajie hivyo vyombo ambavyo ungevichukulia serious
 
Dah aisee unafurahisha na kusikitisha kisa naongelea suala la vyeti feki ina maana me muathirika wake, why nsiwe muathirika wa ubomoaji kimara? Au jina langu liwe limetajwa kwenye madawa ya kulevya?
hasira zako zinanitia wasiwasi. Mimi nazungumzia mengine wewe unakuja na hoja zingine. Mara unaniuliza kama nimeilewa article halafu unaleta mambo ya vyeti wakati hapa nazungumzia hili jarada la economist na motivation yao ya kumshambulia magufuli wewe unakuja na utetezi wa economist wa kuleta mambo ya vyeti, ndiyo maana nikahisi labda wewe ni Muhanga ama rafiki zako. Unaweza ukawa siyo wewe lakini kama kuna member wa familia yako kaathirika maana ni mzigo kwako pia.
 
Kama hukichukulii serious then why did you comment in the first place? Na pia naomba ntajie hivyo vyombo ambavyo ungevichukulia serious
Nikimaanisha kukubaliana nacho likija suala kama hili maana ninaelewa nini lengo lao. Ni sawasawa na Fox News hata siku moja haitatangaza habari nzuri za Obama. na mtu ukiwa unamchukia Obama basi hiyo itakua ndiyo station yako kubwa ya kukupasha abari.
 
Suala la makinikia limeishia wap? Mnatoka kudai trillions of money mnapewa a promise of billions bila kuambiwa due date ya hiyo hela na hauoni that is shaky and unclear
Mbona hunijibu swali unaishia kuchanganya lugha tu. Huwezi kujieleza kwa lugha moja? Weka hiyo "shaky and unclear agreement" tuione, la sivyo huna lolote. Acha kuleta ngonjera zako zisizo na uhalisia wowote.
 
hasira zako zinanitia wasiwasi. Mimi nazungumzia mengine wewe unakuja na hoja zingine. Mara unaniuliza kama nimeilewa article halafu unaleta mambo ya vyeti wakati hapa nazungumzia hili jarada la economist na motivation yao ya kumshambulia magufuli wewe unakuja na utetezi wa economist wa kuleta mambo ya vyeti, ndiyo maana nikahisi labda wewe ni Muhanga ama rafiki zako. Unaweza ukawa siyo wewe lakini kama kuna member wa familia yako kaathirika maana ni mzigo kwako pia.
Sina ndugu wala jamaa kwenye suala la vyeti feki, nimeongelea mapungufu mbalimbali ya magufuli zipo nying zaid sema nimeona ntaandika jarida, not everyone akiongelea kitu kimemgusa personally wengne hatupendi tu uonevu
 
Suala la makinikia limeishia wap? Mnatoka kudai trillions of money mnapewa a promise of billions bila kuambiwa due date ya hiyo hela na hauoni that is shaky and unclear
at least kuna mtu kakomaa kuliko wengine walikua wanapewa suti
 
Nikimaanisha kukubaliana nacho likija suala kama hili maana ninaelewa nini lengo lao. Ni sawasawa na Fox News hata siku moja haitatangaza habari nzuri za Obama. na mtu ukiwa unamchukia Obama basi hiyo itakua ndiyo station yako kubwa ya kukupasha abari.
Hujanjib lakin ni newssource gan ungekubali kama wangemcritisize magufuli
 
Back
Top Bottom