Democracy under assault: Tanzania’s rogue president - The Economist

Mbona hunijibu swali unaishia kuchanganya lugha tu. Huwezi kujieleza kwa lugha moja? Weka hiyo "shaky and unclear agreement" tuione, la sivyo huna lolote. Acha kuleta ngonjera zako zisizo na uhalisia wowote.
Hawa jamaa ni mabingwa kwa kuhamisha magoli kama viongozi wao.
 
Tatizo ni nini kutokuelewa maneno au context yaliyotumika,?
 
Hawa jamaa ni mabingwa kwa kuhamisha magoli kama viongozi wao.
Kiongozi wangu ni nani umeambiwa me ni mwanachama wa chama chochote cha siasa? So kisa wewe wamtetea Magufuli lazima uwe ni CCM? Wewe uliyemintroduce kikwete kwenye article ambayo haijamtaja ulikua hauamishi magoli
 
Hujanjib lakin ni newssource gan ungekubali kama wangemcritisize magufuli
Hakuna media yoyote ya magharibi ninayoweza kuikubali hasa hizi zinazo jihusisha na habari za maendeleo na uchumi. Sababu wamiliki wake ni matapeli tu na wanaandika habari kuwafurahisha wamiliki wao.

Kama sasa hivi Marekani kama inaongozwa na media za m australia Rupert. UK kumemshinda sababu waligundua janja yake
 
Basi why did you read the article in the first place? Kama hauziamin, I find it funny you can read an article just to argue with it rather than keep an open mind
 
Tatizo ni nini kutokuelewa maneno au context yaliyotumika,?
ni saa tano usiku ngoja nilale maana hakuna cha maana tunachobishania hapa. Kama hatujaelewana hatutaweza kuelewana. Ila kama una ndugu waliathirika kwa vyeti, basi pole maana hata mimi binafsi sikukubaliana na hilo jambo niliona ni uonevu lakini hainikatazi mimi kumpongeza pale anapofanya la maana.

Na mara zote hata hapa JF nimeshamsifu na kumkosoa mara nyingi, hata Mbowe nimemsifu na kumkosoa mimi siyo partisan kama wewe. Mimi ni Mtanzania kwanza
 
Nimependa ulivyochomekea vyeti feki... rafki yangu kubali umeshindwa tu
 
hayo mavazi aliyovaa angekuwa wa huku kwetu usingeweza kumsogelea kwa Harufu. nadhani umejufunza kitu hapo
 
Nawashangaa watanzania wanaoshangilia upuuzi ulioandikwa na hilo gazeti.... yaani Rais wenu mliemchagua ki demokrasia na anaiongoza nchi ki demokrasia anashambuliwa kipuuzi halafu na nyie mnashangilia si nyie ni wapuuzi tu.

Wazungu wanajifanya wao ndio wanaijua sana demokrasia kumbe nao wapuuzi tu. Utasemaje una demokrasia wakati miaka yote Uingereza, uhispania n.k zinaongozwa na familia moja, utasemaje unademokrasia wakati marekani rais aliechaguliwa na watu wengi hakuongoza nchi ila yule wa wachache ndio anaongoza.

Unasemaje kunademokrasia wakati urusi, ujerumani zinaongozwa na watu wale wale kila siku karibia miaka 20 sasa. Wazungu wanaongelea kuuwawa kwa watu TZ huku tukishuhudia hata marekani watu wakiuawa, urusi ikiua watu wake + wapinzani wa serikali, uhispania inawagomea watu kupiga kura ya kujitenga, uingereza nayo ilikua inaigomea kura kama hiyo.

In fact hakuna ncho yoyote hapa duniano inayopractice demokrasia ya ukweli ila tu hizi nchi zinatofautiana katika ku practice elements flani za demokrasia zipo zinazojitahidi kulingana na level za maendeleo yake ila nazo sio kwamba zina demokrasia harisi.

Hapa duniani nchi zote hazitakuja kulingana hata siku moja maana hata tu katika mahitaji zinatofautiana, mahitaji ya Marekani sio sawa na mahitaji ya Tanzania. Marekani umalaya (kujiuza na ushoga ni ruksa) na hiyo nayo ni tafsiri ya demokrasia, uhuru wa kufanya utakacho... Kwanini na huku msipige kelele mtake kujiuza? Ila mnapiga kelele za kutaka maandamano na ndo mnaona demokrasia.

Hata demokrasia inamipaka yake
Acheni uzwazwa na kushabikia hata ujinga Rais na aheshimiwe yupo pale kutokana na kanuni na taratibu tulizojiwekea kama nchi
Ndio tunashangilia na tunayo sababu ya kushangilia
Wewe endelea na kumtukuza kwani shida iko wapi
Tusilazimishane kumpenda mtu
Demokrasia ina mipaka ya kuua watu kama mbuzi
Hivi mlilogwa na nani nyie wapambe wa bashite na ukoo wake?
Tz ni yetu sote mbona hamuelewi
Ukweli unauma dammit!
Time to pack n gooooooo
 
Tanzania inazidi kupaa zaidi kimataifa kwa habari mbaya zaidi......kipindi hiku, jarida la The Economist yamuita Rais Magufuli Rogue

A BIT like President Donald Trump, Tanzania’s president, John Magufuli, likes to fire employees on television. In November Mr Magafuli used a live broadcast from a small town in the north of the country summarily to dismiss two officials after they failed to remember instantly details in their budgets. When one protested that she couldn’t reasonably be expected to be able to recall every figure, Mr Magufuli told her, “You can’t talk to me like that.”

Sacking minor officials in front of an audience is only one part of Mr Magufuli’s authoritarian populism. Since coming to power in the country of 55m on the east coast of Africa in 2015, Mr Magufuli, nicknamed “the bulldozer” from his time as roads minister, has bashed foreign-owned businesses with impossible tax demands, ordered pregnant girls to be kicked out of school, shut down newspapers and locked up “immoral” musicians who criticise him.

A journalist and opposition party members have disappeared, political rallies have been banned and mutilated bodies have washed up on the shores of Coco Beach in Dar es Salaam, the commercial capital.

Mr Magufuli is fast transforming Tanzania from a flawed democracy into one of Africa’s more brutal dictatorships.

It is a lesson in how easily weak institutions can be hijacked and how quickly democratic progress can be undone.

Soma zaidi in the economist
Mkuu Nairobian, asante kutujulisha jinsi rais wetu anavyotukanwa na hili jarida la the economist, ngoja nimweleze Dr. Abasi pale Maelezo ili jarida hili lipewe onyo na ikibidi lifungiwe kama the East African na The Newsweek!.

Pascal
 
I am sorry the said article is in English. I am just curious...if you don't understand English what business are you doing in here? It is no wonder you can't comprehend what message is being portrayed. For your information I have gone through the article twice and all I see is a spade being called by its rightful name, a spade.
Kwavile umeamua kuwapa hao mabwana kichwa chako wakusaidia jinsi ya kufikiri hamna shida na ndio maana unawaona wako sahihi kwa ujinga waliouandika. Si ajabu hata wangekua wamemtusi mzazi wako pia ungewaona wako sawa.
 
It is a lesson in how easily weak institutions can be hijacked and how quickly democratic progress can be undone.
Taasisi dhaifu zimetekwa- polisi, mahakama, bunge. .....
 
Kwakweli huyu dikteta anaitia aibu sana nchi yetu! inafikia hatua hii kweli! Hatukuwa na watu wa maana kuwapa nafasi hii hadi tukampa mshamba huyu mwenye wazimu atuongoze !!
 
Back
Top Bottom