Search results

  1. davetz 23

    'Brand' za magari na nchi zinazozalisha

    Kwa nini magari kutoka japani ndiyo yenye market kubwa hapa bongo?
  2. davetz 23

    Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Halafu bado tunashirikiana na hao palestina? Huyo mtu mweusi anauawa kwa kosa gani. Sio mwisraeli
  3. davetz 23

    Baadhi ya walimu wa shule za msingi ni "Semi-literate"?

    Mtoa mada naye ni mzembe, unakaaje miaka minne bila kufuatilia taarifa za watoto wako Majina mengine kwa kweli ni magumu hasa kutokana na kuhamisha hamisha madarasa na walimu tofauti. Ni suala lazazi kufanya follow up kila wakati kufuatilia maendeleo ya watoto shuleni na sio kusubiri ripoti...
  4. davetz 23

    Baadhi ya walimu wa shule za msingi ni "Semi-literate"?

    Sasa kukosea majina basi ukawaona ni semi litera..... Hujui changamoto za elimu vizuri Kila mtu anaandika jina kwa mkono lazima kuna kitu kitapungua au kuongezeka
  5. davetz 23

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Hongera sana, nimesoma mwanzo mwisho na bila shaka kuna funzo kubwa sana Mimi sii msomaji wa makala ndefu ila yakwako nimesoma labda kwa sababu ya uandishi mzuri
  6. davetz 23

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bonasi za kingbet ni sawa na petpawa ya sasa na wana limiti ya multbet nadhani haifiki mil50
  7. davetz 23

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi changamoto ya kutoa hela Petpawa imeisha?
  8. davetz 23

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    NAONA BETPAWA WAMEPASUKA NCHI ZOTE MAANA KENYA NAKO WAMEANDIKA NDANI YA SIKU 10 WATU WAMESHINDA MAMILION SOMA DAILY NATION LA KENYA
  9. davetz 23

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wasumbufu kwenye kutoa,muamala mingine inapotokea hewani
  10. davetz 23

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndugu,shida nini na maelezo yapo hapo ulipozungushia? Subiri upate chako
  11. davetz 23

    Je wajua: Ngushi na nkane Wana CAF medal ila Chama ana medal ya ngao ya jamii

    Mna mipira lakini medali za caf hakuna.
  12. davetz 23

    Uzi maalumu wa majina mapya ya watoto

    Shida nyuzi nyingine ni muhimu sana ila wapuuzi wanaziharibu kwa utani Sent from my CPH2061 using JamiiForums mobile app
  13. davetz 23

    Uwepo wa Rev. Fr. Charles Kitima kwenye utiwaji saini wa Mkataba wa DP World unahitaji majibu

    Angekuwa ana mawazo kama yako hangeenda kwenye hafla.Kwa sababu huwa wanaalikwa.Yule ni mwakilishi ukiona ameenda ujue yale yaliyokuwa yanalalamikiwa yamefanyiwa maboresho
Back
Top Bottom