Search results

  1. elyza

    Tendo la ndoa nje ya ndoa

    Je wajua? Ukifanya tendo la ndoa na mtu ambaye huna ndoa naye ni uzinifu? Ndiyo, huo ni uzinzi! Hebu tuwe wa kweli kutoka moyoni ni nani anauhakika kwamba yeye si mzinzi? Ni Kweli wewe hujawahi kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa? Vipi X wako mlikuwa hamfanyi? Mchumba wako je hufanyi naye...
  2. elyza

    Tumeachana anatishia kumuua mtoto wangu

    Nilikuwa kwenye ndoa, tena ndoa ya kanisani. Mume wangu wa ni mtu wa kutoka mkoa unaosifika kwa ubishi. Tulikutana nikiwa nimekwenda huko kikazi, tukaanza mawasiliano hatimaye tukawa wapenzi na mwisho tukaingia kwenye ndoa....maisha ya ndoa yalikuwa yenye amani, furaha kiasi kwamba kila mtu...
  3. elyza

    Nawezeje kumpata mume mwema kibiblia?

    Wakuu habari za weekend? Upweke unachosha kwakweli natamani kupata mume lakini kwa kufuata kanuni za biblia. Mwenye uzoefu au mbobezi please naomba msaada. Maisha ya upweke yamenichosha sana. Wanaume wengi tu wananifuata lakini niwale ambao wanadhani kwa sababu ya nafasi zao kifedha wanaweza...
  4. elyza

    Tofauti ya neno Christmas na Xmas

    Wakuu habari za jioni! Nimeona nitoe ufanunuzi juu neno sahihi kati ya hayo tajwa kwenye kichwa cha Uzi huu. Christmas ni muunganiko wa maneno mawili yaani Christ na neno la pili mass likiwa na maana ya kusanyiko la kristo. Neno la pili xmass likiwa na maana ya kupiga uwepo wa Christmas, na...
  5. elyza

    Mada maalum kwaajili ya wanawake

    Wakuu habarini za weekend, Nimekuwa na kitu kinanisumbua sana moyoni mwangu. Mimi kama specialist wa magonjwa ya wanawake ninawiwa kuanzisha mada maalum kutoa nafasi kwa mtu yoyote kuuliza swali juu ugonjwa unaohusu mwanamke. Au kuomba ushauri wowote juu ya afya ya mwanamke. Najua kuna jukwaa...
  6. elyza

    Ni sahihi kuingia kwenye mahusiano mengine kwa haraka?

    Hbr za weekend wakuu! Tangu nimeamua kuachana na mchumba wangu kwa sabbu ya fumanizi kama nilivyoeleza kwenye uzi wa awali nimekuwa ktk wakati mgumu sana. Tangu nimetupia humu uzi wa kumfumamia mchumba wangu nimekuwa nikipokea PMS nyingi za kutaka mahusiano na mm. Mtaani pia wanaume wengi...
  7. elyza

    Nilimfumania, sasa ananitishia kuniua

    Pole na shughuli za siku wakuu. Nilikuwa na mchumba ambaye tumedumu nae kwa miezi tisa. Pia uchumba wetu ulishakuwa wazi kwa wazazi wa pande zote mbili, japo bado hakikuwa kimefanyika chochote katika kuhalalisha mahusiano yetu. Mwezi uliopita nilikwenda nyumbani kwa mchumba wangu bila...
Back
Top Bottom