Tendo la ndoa nje ya ndoa

elyza

Senior Member
Oct 9, 2016
155
326
Je wajua?

Ukifanya tendo la ndoa na mtu ambaye huna ndoa naye ni uzinifu? Ndiyo, huo ni uzinzi!

Hebu tuwe wa kweli kutoka moyoni ni nani anauhakika kwamba yeye si mzinzi? Ni Kweli wewe hujawahi kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa? Vipi X wako mlikuwa hamfanyi? Mchumba wako je hufanyi naye? Jiulize huyo ni mchumba wako wangapi? .

Wazinzi bhana wanajua kujifariji! Eti si atakuwa meme/mke wangu kuna haja gani ya kumnyima. Vipi akikumwaga? Utaenda kwa mwingine? Nayeye utampa tena au mtapeana?

Uzinzi unasababisha makunyanzi usoni hasa ukishalala na wanaume/ wanawake zaidi ya watano. Ndiyo unazeesha emu nenda kwenye kioo kajiangalie! Huoni makunyanzi yameanza?

Umeachwa na Alex, John, Baraka, Hamisi, Amosi na sasa upo na Ema. Hao wote wana vikojoleo tofauti tofauti! Huenda John anakibamia, Alex ana muhogo, Hamisi ana karoti, Baraka ana tango na huyo uliyonae anabamia kubwa

Hapo ndipo shida inapoanzia! Maana lazima utakuwa na hisia na Baraka hata ukiwa na Ema kwasababu Baraka ndiyo alikuwa anakufikisha mlimani. Ili uridhike na Ema unahitaji kuvuta hisia za Barak uzinzi bhana.

Anyway samahani kwa kusema haya. Cha msingi wadada tuache uzinzi maana wanaoathirika pakubwa ni sisi

Siku njema
 
Kuna Uzinzi na Uasherati

Uzunzi unafanywa na mtu aliye ktk ndoa hata akifanya na mtu ambaye bado ajaoa/ kuolewa inahesabika yule aliye ktk ndoa amefanya uzinzi.

Uasherati unafanywa na yule ambaye ajaoa/ kuolewa hata kama tendo lile atalifanya na mtu aliye ktk ndoa bado yule ambaye ajaoa/ kuolewa amefanya uasherati.
 
Back
Top Bottom