Search results

  1. amamus

    Nasikia walipotangaza yale majina hiki kilifanyika

    Hapa sasa ndo nimeelewa!!!
  2. amamus

    Hodiii hodiiiii hodiiiii

    Tuma picha
  3. amamus

    makampuni ya simu tanzania kupunguza gharama za kupiga simu

    Shame on them...wamekaa wizi wizi tu!!!
  4. amamus

    Huu ndio Mjengo wa Msanii SHILOLE..!! Na Biashara ya madini ya Fid Q

    Mabata madogo madogo yanaogelea yanaogelea..........
  5. amamus

    Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Phase II imekua ngumu sana.....
  6. amamus

    Harmorapa awatambia Mose Iyobo na Harmonize kuwa hawana hela ya kumzidi

    Ninaamini kwenye list ijayo hutokosena [emoji38]
  7. amamus

    Harmorapa awatambia Mose Iyobo na Harmonize kuwa hawana hela ya kumzidi

    When it comes to harmorapa.....mimi huwa naishia kufurahi maana simuelewi kwakweli.....labda ninahitaji muda[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  8. amamus

    Ni Wasaa wa Idara yetu ya Usalama kufahamika

    Endelea kuifuatilia utajua tu!!!?!!! Na sijui unahitaji hizo taarifa ili zikusaidie nini. ...hivi ni lazima kilakitu mfanye kama marekani?
  9. amamus

    Mume kufukuzwa kazi kumenifundisha kuchepuka, sasa nimekuwa sugu

    Anafahamu kilakitu ila ameamua aache moyo ufanye kazi yake ya msingi "Moyo sukuma damu" [emoji28][emoji28] Huyo jamaa atakuja secure contract moja ya kazi utashangaa mahewa atakayokupa....anyways msalimie shefa lako jipya
  10. amamus

    Walinzi wa rais wetu fitness yao vipi?

    Mambo yakwenye kideo au sio?
  11. amamus

    Walinzi wa rais wetu fitness yao vipi?

    Ukitaka kujua fitness yao nenda kawaingilie maeneo yao alafu uje hapa uanzishe thread nyingine yakutoa ushuhuda..."endapo utafanikiwa kuchomoka salama"
  12. amamus

    Harmorapa Fans' Special Thread...

    [emoji28][emoji28][emoji28] huyu jamaa anaforce king mwisho wasiku utakuta watu wanamkubali tu hahahaha maana jamaa kajitoa ufahamu kwelikweli
  13. amamus

    Picha: Mtoto wa miaka 9 ambaye Gwajima anadai alifufuliwa baada ya kufa huko Arusha

    Ni pale unapomfanya Mungu ni cousin wako tu ndo unaweza ongea haya mambo ya mtu kufufua mtu.
  14. amamus

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Kama huwezi kupambana nao basi ungana nao
  15. amamus

    Nimekoma sizami chumvini tena

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38] umetisha
Back
Top Bottom