Search results

  1. P

    Mbatia ametumika kuua demokrasia nchini!

    Watoe sababu za msingi za kutaka Mbatia aachie Uongozi sio kulalama
  2. P

    Kina kaka nawaomba hapa

    Super marioooo
  3. P

    Ile Boeing 787 Dreamliner tulioagiza kumbe ni noma, aisee!

    Tutakuwa kama Ethiopia huku mtaan kunatight tu.....
  4. P

    Moses Machali: Ni fikra chakavu za upinzani kulaani kikao cha CCM kufanyika Ikulu

    Huyu Machali kwisha kazi,kitu amabacho hatambui ni kwamba Magufuli haliwaalika CCM wenzake akiwa kama Mwenyekiti wa chama cha Mbogamboga na hao kina Mbowe walikuwa wanaenda kwa ishu za Kitaifa mboma Mawaziri wanafanya vikao huko na wote ni wa CCM na hakuna anayepga kelele lile zoezi ni la...
  5. P

    Tetesi: REF:NI MWENDO WA KUBANA MATUMIZI

    Privately-owned insurance companies, hotels, telecoms, media and transport firms are expected to be among those hardest hit in the new spending cuts that will specifically target a complete halt or drastic reduction of the flow of government funds to the private sector. The Ministry of Finance...
  6. P

    Mzozo wazuka upya kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    Hawa jamaa wanaham Makamanda w2 wawatwange kisawasawa ili 2walipe tu hzo ni choko choko za taifa maskin na lenye uroho ma waendelee mana huyu Si Jakaya mana aliwaachilia had wenzetu walikuwa wanawapiga kule mpakan ss huyu Presidaa wa ss nadhan atawanyoosha haswaa.....
  7. P

    Dangote ajiandaa kuongea na Rais Magufuli

    Hii taarifa inasikitisha sana Suala nyeti kama hili had Rais ana Dangote waongee wkt ni ishu ya wizara usika na Uongozi wa Dangote wamgeongea na kulimaza mda ss kila kitu Rais hii nchi inasikitisha sana kwakwel.
  8. P

    CV ya Freeman Mbowe hii hapa

    Freeman Aikael Mbowe alisoma elimu ya msingi katika shule ya Msingi Lambo na kufanikiwa kufaulu.Alifaulia kwenda shule ya Sekondari Kibaha mkoa wa Pwani. Alipohitimu kidato cha nne Kibaha Sekondari, alifanikiwa kujiunga na kidato cha tano IHUNGO Sekondari Manispaa ya Bukoba. Baadaye...
  9. P

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara Arusha, atatua kero na kugawa pikipiki

    Mtoeni na Mbunge wao bas hapo ndo watafurahi zaidi.......
  10. P

    Kwanini Mhe. Tundu Lissu na Wakili Peter Kibatala hawajasikika?

    Good qsn,Chadema ina mawakili wasomi wengi sana sio kila kesibya kwenda Lisu waache na hawa kina malya wapate uzoefu.
  11. P

    Dangote yafafanua kusimama kwa shughuli za uzalishaji

    Wacha wakanushe lkn ck zote maji na mafuta ujitnga tutajua tu ukwel kadri ya ck znavyoenda baada ya ktfta Solution wo kaz kukanusha
  12. P

    Katibu Mkuu CHADEMA Dk Mashinji: Mwaka 2020 itakuwa shughuli pevu

    Cha msingi ambacho mnatakiwa kukifanya ni kuangalia namna gan ya kupata Katiba mpya ili Uponzani uchukue dola without bloodshed mana hzo kauli zko znadhihilisha w2 watakufa tu,kwa maana CCM ndo wanasimamia Uchaguzi ss ww uliona wap m2 anajisimamia mwenyew kwnye mtihani hapa lazma afaulu,kma...
  13. P

    TAA INAYOTOA GIZA

    Iko poa ukisoma na ukaielewa ni thread amabyo inaweza kubadilisha mtazamo kwa wa2 wanaolalamika sana na wanao2miwa na wanasiasa kwa malengo yao binafsi big up Pof.
  14. P

    Itangazwe Rasmi Clouds Fm ni Radio ya Taifa

    Hv hii TV bado ipo mana mm niliifuta mda tena wkt nimeomba kuifuta DSTV wakawa wagumu nkawaambia wanipe pesa yng wachkue Dish lao sina haja kuangalia TV ya Mbogamboga kila hbr za Kipropaganda tu............
  15. P

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    On behalf of my self and people of JF napenda kukujuza kwamba gari linasonga na lina kasi wanaodhan gar ni bovu ni waharbifu waliokuwa wanaitekenyatekenya ili ipelekwe kwa Fundi wapige deal,kwa mfano zile gari za Shirika la Posta zimejazwa mafuta wakat hazitembei we unaonaje sio kama wapiga deal...
  16. P

    Watanzania wengi wa JF hawana Uzalendo na nchi yao

    Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichoko mkoani Mtwara kimesitisha uzalishaji wa SARUJI kutokana na kuelemewa na gharama za uendeshaji. Mkurugenzi mtendaji wa kiwanda hicho Harpeet Duggal anasema wanazungumza na serikali kuona namna ya kutatua changamoto hiyo. TATIZO NI NINI? 1. Menejimenti ya...
Back
Top Bottom