Search results

  1. mjunguonline

    Msaada wa Subaru Forester au BMW 3 SERIES, X3

    Kama ni mm hapo sina chaguo kabisaaa yote ni Luxury Car hayo. Hakuna gari ya kazi hapo. Subaru Engine yake ikizingua huwa hairudi Kama Zamani. Pia Spare Zake zipo Juu sanaaa. Na KIBONGO BONGO Hakuna Mafundi Wazuri wa Subaru.
  2. mjunguonline

    samsung kushindwa kunshare picha

    Virus Hizo bingwa. Format cm hiyo
  3. mjunguonline

    Dada na mdogo wake,wagombania mwanaume

    Hii ni Sawa na Sodoma na Gomora.Duu
  4. mjunguonline

    Vodacom na wizi wa mchana

    Njaa!Njaaa!Njaaa....Vya bure Ghali....
  5. mjunguonline

    Kwa wale wa jeshi tu

    Unetoa Rushwa sio?Tutakushughulikia..Maana Hata Interview hujafanya wewe..Kwa Lugha rahisi hujapimwa,Ukimwi,Kam Ni Rijalii,Au kama sio Ridhiki,Matege,Presha,Kisukali,Kuona Vizuri,Mishipa za Chini ya Paja n.k...we ngoja utaona...
  6. mjunguonline

    Bajeti ya kifo

    Nani akupandishie Bajeti Mkuu.....Ni mwendo wa Mkopo Mwanzo,Mwisho.....Serikali Imekopa hii,sijapata Ona Duniani...Kiukweli tumeshauzwa....
  7. mjunguonline

    Bajeti ya kifo

    Wakuu,nafuatilia kwa umakini hii bajeti ya mwaka wa fedha 2012/2013,ni bayeti ya kukomoa,kuanzia Mawasiliano,Pombe,Sigara,Magari,vimepanda.... Mbaya zaidi huyu Waziri wa fedha anasoma huku anacheka,ini hali akijua kuwa inaumiza wananchi...Lengo la Bajeti hii ni kuongeza Pato la Taifa na...
  8. mjunguonline

    Nyoka mkubwa kaingia ndani kwangu halafu kajificha

    haka kajamaa,nahisi kaganga ka kienyeji haka...Daa kataalamu kweli.
  9. mjunguonline

    Mawaziri saba wajiuzuru

    Ccm kwishaaaaaaaaaaa,,,,Kwiiiiiiiiiiii Kwiiiiiiiiiiii Kwiiiiiiiiiiii Kwiiiiiiiiiiii Kwiiiiiiiiiiii Kwiiiiiiiiiiii Kwiiiiiiiiiiii Kwiiiiiiiiiiii....
  10. mjunguonline

    Msaada kuhusu Bandarini

    Broo,pole,usikurupuke kuagiza Mzigo wowote nje ya nchi kama hujui ni kwa jinsi gani utautoa.....Ila kwa msaada zaidi,wasiliana na Maagent ambao wanapatikana Mtaa wa Samora jijini Dsm...
  11. mjunguonline

    Jamani ebu tazama picha ya huyu babu, unaweza kufika hapo?

    Huyu Jamaa kipindi Cha Uongozi wa Mzee Ben,alikuwa kijana bonge la Handsome,baada ya kuingia ******,jamaa maisha yakawa Magu na kuanza kuishi kwa Taabu na mawazo ya kutafuta Ridhiki yakaanza kumtawala,mwisho wa siku akawa Ombaomba na kupinda Mgongo..Kweli ****** ni Noma,hana huruma na wananchi...
  12. mjunguonline

    tigo? Tigo wathulumati!!

    Kwani Lazima uwe na tigo ktk Maisha yako...Amia Airtel au Voda kuepusha shalo zisizo za lazima....
  13. mjunguonline

    Natafuta mchumba

    Weka sura yako tukuasses Mtoto.Kama unalipa,leoleo ndoa...
  14. mjunguonline

    Re: Taarifa Muhimu kwa Wateja Wote wa Mabenki Nchini.

    Mbaya zaidi simu yenyewe ya Mchina,,,Masikini ya Mungu..
  15. mjunguonline

    Total shutdown MOI hakuna huduma

    Pumbavu wewe,kama Mama yako angekuwa amelazwa,then madaktari wagome ungefurahii...Pimbi wewe,Serikari imekubali kukaa chini na kuongea nao,mwisho wa siku hawaji kutoa hoja zao,wanabaki kulia na Miti,hiyo ni akili au Ugolo...Usishabikie kitu cha Kipumbavu wewe..
  16. mjunguonline

    Kuna mkutano wa Chadema stendimpya Shinyanga

    n's leading used car sales company Our offices are in Japan, Kenya, and Tanzania. NEXTAGE CARS KENYA NAIROBI OFFICE Place International House 1st Flo
  17. mjunguonline

    Tukumbushane MATUKIO YA KUSIKITISHA yaliyotokea TZ 2011

    Mheshiwa "david kafulila"kuvuliwa uanachama wa chama cha nccr mageuzi na kisha kulia hadi kutoa makamasi kwa zaidi ya dakika 40 kwa nia asamehewe kuvuliwa uanachama...kweli unga mtamu,sifa kwishinia.
  18. mjunguonline

    Champion Bus yaua watu 8

    Hao waliokufa kwani wamependa..Fikilia mara 2 kabla haujatoa Coments kijana.Hii ni dunia,hujafa...hujaumbika.Shauri yako bwana mdogo.Ndugu zetu wametangulia mbele za haki,wewe unafurahia sio.Mungu akubariki na kukulinda.
Back
Top Bottom