Search results

  1. L'AMOUR

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    vipi hizi za mbc1 and mbc2 za mauritius maana hazifunguki kunani? za angola pia zimepotea PTA and TV zimbo nisaidieni kuzipata
  2. L'AMOUR

    Experienced coffee farm manager( degree in agronomy or agriculture general)

    HI. WANATAFUTWA AGRONOMIST AU AGRIC-GENERALIST WENYE EXPERIENCE YA COFFEE FIELD MANAGEMENT. PLEASE KAMA UNA NDUGU,JAMAA,JIRANI, AU RAFIKI ASISITE KUFORWARD CV YAKE TO hrd@enrichafrica.org or admin@enrichafrica.org. Naomba kuwasilisha taarifa hii kwenu.
  3. L'AMOUR

    Sheria inayosimamia 'Mihuri' ya serikali

    Mdau ebu jaribu pia kujifunza mambo ya kiserikali yanavyoenda maana ukitegemea hao uliowakuta hapo wanaweza kusubiri uchemke ili washingilie ushindi. Kwa kuanzia jaribu kupitia huu mwongozo lakini nashauri upate ule ulio updated zaidi: GENERAL INSTRUCTIONS REGARDING CORRESPONDENCE C.1 Forms of...
  4. L'AMOUR

    Sheria inayosimamia 'Mihuri' ya serikali

    C.9 Rubber Stamps: Rubber stamps shall be used only on copies of letters. Original letters, Government Receipts, passes, licences shall be signed by authorized public servant. Nadhani kwa kuanzia unaweza kusoma public service standing order ambayo ni recent itakupa mwanga zaidi ya namna...
  5. L'AMOUR

    Hot Nuuz: Mahakama Kuu leo Imempa Ushindi Lulu Michael Kuhusu Umri Wake

    Huyu ni minor na hata akaunti zake inabidi atafutwe guardin vinginevyo hizi sheria tutakuwa tunakurupuka kila siku. Tehe tehe mambo haya ni Tanzania tu hutokea
  6. L'AMOUR

    Hot Nuuz: Mahakama Kuu leo Imempa Ushindi Lulu Michael Kuhusu Umri Wake

    Mtoto kama ikijulikana kuwa alikuwa anajua alichokuwa anakifanya wakati wa tukio sheria inamhukumu kama kawaida. Hapa napata wasiwasi kuwa mtoto Lulu kumbe alikuwa gereza la wakubwa kinyume cha sheria itabidi haraka sana aende kukaa gereza la watoto wenzake. Lakini ni kwa vipi pia mtoto...
  7. L'AMOUR

    Nidaije mshahara wangu?

    Sheria ya kazi na mahusiano kazini ya mwaka 2004 kifungu cha 27 inaweka wazi kuwa ni kosa kwa mwajiri kukiuka kifungu hicho. Hivyo unaweza kumshitaki kwa mujibu wa sheria. Ni vyema pia ukaweka wazi namna ya mambo yalivyo ili isije tukawa tunatoa hukumu ya upande mmoja tu. Nashukuru kwa hoja
  8. L'AMOUR

    Sekretarieti ya Ajira na Database

    Bado hawa jamaa hawajajipanga vizuri hata ule utaratibu wa kuondoka na matokeo ya written interview na kuwaahidi watu kuwa watapigiwa simu sidhani kama unazuia mianya ya kuweka mtu kwani hata matokeo hayaonyeshwi. Sijui hata shule tungekuwa tunafanya mitihani kisha tunaambiwa kuwa watakaofaulu...
  9. L'AMOUR

    Tabia hii haipendezi

    Ni kweli kuna haja ya kupunguza watoto humu maana zamani watu walikuwa wanaongea mambo ya maana hata hoja kutoka mataifa mengine tulikuwa tunazipata hapa lakini kwa sasa watoto ni wengi na wanaongea mambo ambayo hayatujengi kama great thinkers
  10. L'AMOUR

    Kununua GARI

    Lipeleke suala hili kwenye jukwaa la sheria kujua mambo ya mikataba ya kuuziana magari.
  11. L'AMOUR

    Kuitwa kwenye usaili-tume ya ajira

    Na hiyo written interview huwa wanauliza maswali gani kwa wenye uzoefu wa hili jambo
  12. L'AMOUR

    What do you do when law enforcers fabricate evidence?

    My friend you need to be very specific on what kind of documents you are talking about so that lawyers can pick the appropriate laws to give you a piece of advice. Being too generalised may lead to misinterpretation of the appropriate law. I believe each original document reflects the possession...
  13. L'AMOUR

    Kiwanja kinauzwa olasiti-arusha

    Kiwanja hicho juu kinauzwa karibu na Shule ya msingi Olasitii. kiwanja kinafikika kwa barabara, kuna maji, umeme nk. Kina ukubwa wa 28×16. Bei inaanzia milioni 12. Kwa maelezo zaidi piga 0784588089.
  14. L'AMOUR

    Ijue sheria na hukumu ya kuua bila kukusudia

    Kama tunakumbuka vizuri Ditopile hakuwahi kuachiwa huru ila kilichofanyika ni kubadili kosa lake kutoka kuua hadi kuua(murder) bila kukusudia(manslaugher) kosa ambalo linaruhusu dhamana. Hadi kifo kinamfika alikuwa nje kwa dhamana na si kwamba aliachiwa huru kwani kesi yake ilikuwa inaendelea...
  15. L'AMOUR

    Msaada wa kuandika madai ya BIMA

    Kwa kuanzia tu ni lazima uwe unajua mpaka sasa umetumia kiasi gani nikimaanisha uwe na ushahidi wa gharama zote tangu ulipogongwa eneo la ajari hadi matibabu yake. Ukishaweka sawa vitu hivyo ni lazima ujue hiyo daladala bima yake ni ya kampuni gani ili uweze kwenda kudai fidia ya hasara...
  16. L'AMOUR

    Toyota corolla for sale

    Hii gari ni automatic mkuu kwa hiyo unaweza kuikagua bure kabisa ili ujiridhishe nafsi yako kabla ya kufanya maamuzi ya ukweli
  17. L'AMOUR

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    Nadhani mleta mada hii si mtanzania na sijui anasemaje kama tulikuwa na naibu katibu mkuu wa UN mtanzania. Je kazi hakufanya? Vipi kwa wanasiasa wazalendo wanaotaka kutetea taifa na wanalishwa sumu na hao wanaotaka Tanzania iendelee kudharaurika? Kiukweli watanzania kinachowaponza ni utu wao wa...
  18. L'AMOUR

    Toyota corolla for sale

    Mkuu show room hii gari imefika M.11. ndio maana nikaona niwape wadau wanaopenda kubana mafuta mapema ili kama tukizungumza inakuwa safi
  19. L'AMOUR

    Toyota corolla for sale

    Located in Arusha; Single user Toyota corolla 1999 in an excellent condition,Ideal for fuel economist Displacement 1300cc ,Air condition, Air-bags,AM/FM/TAPE/CD radio,Anti-locks Brakes, Electric windows,electric Mirrors. Insurance covered up to December 2012, Valid road licence, Mileage...
  20. L'AMOUR

    Kuweni makini, utapeli mpya umeibuka Dar

    Naomba usaidie kuwasiliana na waandishi wengine ili kuelezea utapeli unaoendelea hapa mjini. Tayari watu watatu ninaowafahamu walitaka kutapeliwa kwa njia hii. Jamaa anakupigia simu na kujifanya anakufahamu sana. Anakuuliza kama bado unaishi Dar. Ukikosea ukisema ndio, anakueleza yeye yuko...
Back
Top Bottom