Mkuu mimi sizungumzii timu yoyote hapa, nazungumzia makosa waamuzi wetu wanayofanya, ndomaana nimesema tuache ushabiki wa usimba na uyanga tuongelee tatzo la marefa wetu.
ila kiukwel tuache ushabiki mandazi jana refa hakuwa fair, ni kama siku ile ya prison pia hakuwa fair, waamuz wetu wengi bado hawajakomaa kwenye kutoa maamuzi, ingekuwa simba au yanga ndo imefanyiwa kama ruvu jana hakika mashabiki wangeleta vurugu.
Kingine muda bado sana hadi ligi iishe, naona...
jaman hawa betpawa mbona siwaelew, kuna hii game ya westham nilibet no penat na nimeangalia live score zote hakuna gol la penat ila mkeka wng umechanika
hivi nani aliyesema kuwa mkishaoana haiwezekani kuachana??? mimi huwa siamini katk hilo... cku nikioa mke akizingua si mnaachana tu?? alaf niwaambie siri moja, ukitaka uishi kwa aman usioe au kuolewa... utaishi kwa furaha siku zote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.