Search results

  1. Msamiati

    Hakuna cha Diamond wala Ali K, Shikamoo LINEX

    Habari zenu Waungwana, Nimeona Bora niseme chochote kumpongeza Linex. Amini usiamini tunapozungumzia International standard kwenye music LINEX ni next level. Huyu jamaa angekuwa na kihelehele cha wakina Diamond kuwashobokea wakina Kusaga sijui wakina luge... Basi leo tungekuwa tunazungumza...
  2. Msamiati

    Tanzania Bloggers Network Party walipokutana Serena Hotel

    Jumamosi ya wiki hii blogers kutoka kila pande ya Tanzania walikutanza kwenye hoteli ya Serena kwaajili ya kufahamiana na kubadilishana mawazo. Kwenye picha ni matukio mbalimbali, yaliyotokea kwenye hafla hiyo.
  3. Msamiati

    What does Life mean to you?

    What does Life mean to you? Kuna aina mbili za mitizamo kuhusu maisha miongoni mwetu. Mtizamo wa mtu kifikra hufafanua tafsiri ya maisha kwenye kipindi cha uhai wake. Kwenye hii dunia kuna kundi kubwa la watu ambalo kwao maisha hayana tafsiri ya ziada zaidi ya uzima wa kiafya. Kwa watu wa aina...
  4. Msamiati

    Jinsi ya kutumia GlassFish server ku-access Database naomba msaada

    Habari za Hapa Wana Tech, Kuna kaProject kangu najaribu kukafanya, lakini nimefikia mahali nimekwama. Natengeneza webservice ambayo itakuwa ina-access na DataBase, sasa mwanzo nilizani mechanism yote ya Ku-connect na dataBase inaishia kwenye program yangu, badala yake nakuja kukutana na...
  5. Msamiati

    Mpangilio wa miundombinu wa enzi za mkoloni chanzo cha foleni Jijini Dar es Salaam

    Kutokana na miundombinu ya jiji la Dar es Salaam hasa upande wa Barabara kuwa ya enzi hizo za ukoloni inapotokea ajali inakuwa vigumu kupita njia nyingine. Mfano ni ajali ya kugongana kwa maroli eneo la Matumbi na kusababisha msongongamano wa magari katika Barabara ya Mandela. Malori yakiwa...
  6. Msamiati

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, February 3, 2015

    Ratiba Kipindi cha Maswali ya Kawaida. •Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/ zisizo za Kisekta. (i) Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala; (ii) Kamati ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; (iii) Kamati ya Masuala ya UKIMWI. Note: TBC 1 Haitaonesha Bunge Badala yake...
  7. Msamiati

    Google yashindwa kufikia malengo ya kiuchumi wakati Amazon wakichekelea

    Mabilionea wawekezaji wa Soko kubwa duniani la kwenye mtandao la Amazon, Jana walijikuta wakivuta hewa murua baada ya e-commerce giant kutangaza kwamba kampuni hiyo imefanikiwa kupata faida kubwa kwa mara ya kwanza baada ya hasara iliyokaa kwa misimu miwili mfululizo. Kampuni ya Amazon...
  8. Msamiati

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

    Habari zenu wakuu, Leo bunge linaendelea pia, Kama jana Spika alivosema, Leo Bunge litaanza ratiba upya. Ratiba inaonesha hivi; · Kipindi cha Maswali ya Kawaida (Leo Alhamis ni Maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu) · Taarifa za Kamati za Bunge zinazosimamia Fedha za Umma. (i) Kamati ya...
  9. Msamiati

    Ukianza kufanya mambo haya 5, hadhi yako itaongezeka

    Unapohisi kasi ya maendeleo na hadhi yako vinapungua kwenye maisha yako, hii hutokana na baadhi ya vijitabia, mazoea na mienendo midogo midogo ambayo mara nyingi hutuathiri wengi wetu. Hadhi yako ni kitu muhimu ili kukufanya ujione binadamu mwenye nguvu na thamani kwenye familia au jamii. Ni...
  10. Msamiati

    Apple wajisafisha kwa kuvunja rekodi za mauzo

    Apple wajisafisha kwa kuvunja rekodi za mauzo Ikiwa ni wiki moja tu tangu Snowden kupitia Mwanasheria wake ailipue kampuni ya Apple kwa kuweka wazi kuwa Snowden hajawahi kutumia simu za iPhone kutokana na simu hizo kutokuwa na usalama wa taarifa za mtumiaji, Jana kampuni ilionesha...
  11. Msamiati

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, January 27, 2015

    Kipindi cha maswali na majibu: Swali- Ezeckiel wenje: Kuhusu makazi ya walimu. Majibu- Naibu waziri: Mahitaji ya nyumba ni kmakubwa, serikali inajiandaa kufanya ukarabati, Walimu wanatakiwa kuishi kwenye nyumba za serikali bila kutozwa kodi Majibu ya swali la nyongeza: Walimu wanapaswa...
  12. Msamiati

    Fanikisha lolote kwa Uchawi wa asili ambao kila mtu anao

    Je! unaamini uchawi ? Unaamini upo na unaweza kuutumia kufanikisha jambo lolote ? Mimi naamini japokuwa tofauti ndogo kati ya uchawi ninao uamini mimi na wanao uamini watu wengi ni kwamba uchawi kila mtu anao ila tunatofautiana vitu viwili nguvu ya kuutumia (Consuption Power), na uwezo wa...
  13. Msamiati

    Snowden hakubaliani na matumizi ya iPhone kwa sababu za kiusalama

    Kwa muujibu wa mwanasheria wa EdwardSnowden, anasema mteja wake hajawahi kutumia iPhone kutokana nasababu za kiusalama. Mwanasheria huyo anasema iPhone ina softwaremaalum ambayo inaweza kuwezeshwa kufanya kazi na kubeba taarifa zamtu bila mmiliki wa simu kujua. Kulia Mvumbuzi wa vifaa vya...
  14. Msamiati

    WhatsApp doesn't understand the web

    Today WhatsApp launched their web client in a way that is sure to upset and disappoint a lot of people. WhatsApp is a very popular instant message solution competing on the same market as LINE, Telegram and others. Here in Brazil WhatsApp is basically ubiquitous since its cheaper to send...
  15. Msamiati

    Unakaribia kukata tamaa? Soma hapa kwanza

    Kitu pekee kilichokuwezesha kufika hatua uliyopo kwenye mahusiano yako ni matarajio makubwa uliyokuwa nayo juu ya mapenzi yenu. Kitu pekee kilichokufanya ukafika hatua uliyopo kwenye biashara yako, ni matarajio makubwa uliyo nayo juu ya hiyo biashara. Kitu pekee kilichokufanya uingie kwenye...
  16. Msamiati

    Mawazo ya watu juu yako yanaweza kukufanya ukawa masikini Take Care!

    Kwa asili ya binadamu, kila mtu katika ulimwengu huu angependa kuwa na maisha mazuri, heshima na mafanikio ya kiuchumi na kijamii. Hii ni asili. Lakini mazoea ya kisaikolojia kwenye ubongo wa mtu huweza kuathiri hulka hii ya binadamu na kumfanya mtu kupoteza uimara wa kukabiliana na mazingira...
  17. Msamiati

    Damn! Unaanzaje kumfananisha STAMINA na FA, Mnanioffend Brothers

    Nipo ofisini hapa, imezuka hoja inayosema Mwana FA ni mwandishi mzuri zaid wa mashairi kuliko Stamina, kwakweli tumezozana sana. Wao wanadai eti nyimbo nyingi za mwana FA zimeasha misemo kwenye jamii, lakini mimi hoja yangu kubwa ni ukali wa mistari ya Stamina nikajaribu kuwapa mifano kibao...
  18. Msamiati

    CNN teams with the FAA to make drones work for news gathering

    CNN has been looking into the prospect of using drones for news reporting for months, but it now has an important ally in its corner: the FAA. The two organizations have forged a research agreement that will create an official framework for UAV use by the American press. CNN hopes this will...
  19. Msamiati

    Nissan and NASA join forces to build self-driving cars

    Nissan and NASA are aiming to conquer earth and space with their own fleet of self-driving cars. The two companies have entered a five-year deal that will eventually produce a line of zero-emission autonomous vehicles. According to Wired, the project is being considered an "R&D...
  20. Msamiati

    Hackers claiming ties to ISIS take control of Pentagon social accounts

    President Barack Obama arrives to speak at the FTC offices at the Constitution Center in Washington, Monday, Jan. 12, 2015, about his plan to improve confidence in technology by tackling identify theft and improving consumer and student privacy. Carolyn Kaster/AP Twitter and YouTube...
Back
Top Bottom