Search results

  1. U

    DOKEZO Angalizo usafiri wa Mwendokasi

    Mkuu umetumia kigezo gani kutupa sifa hiyo[emoji3]
  2. U

    DOKEZO Angalizo usafiri wa Mwendokasi

    Sikutaka kuliwa sasa[emoji23]
  3. U

    DOKEZO Angalizo usafiri wa Mwendokasi

    Ndo vile kusema kila mtu atakula kazini kwake! Akifanya kwa watu kumi 6500 inakuwa posho daily.
  4. U

    DOKEZO Angalizo usafiri wa Mwendokasi

    Mara ya pili hii, jana nlikuwa nawahi sehemu wakanipa tiketi inasoma saa 8 mchana wakati muda huo ni saa 3 kasoro usiku. Nimefika mbele kidogo ile kuisoma na kukuta hivyo, wakati nairudisha eti ananipanga kwamba huwa wanatoa tiketi nyingi na zinazobaki hawezi kuzitupa![emoji23][emoji23][emoji23]...
  5. U

    DOKEZO Angalizo usafiri wa Mwendokasi

    Habarini wakuu! Ndugu abiria mnaotumia mwendokasi kuwa makini, kuna baadhi ya wanaokatisha tiketi kwenye vituo siyo waaminifu, wanauza tiketi iliyokwisha tumika tayari na wengi wetu hatuangalii muda! Wanachofanya baada ya kumpa pesa ni kujifanya kutoa tiketi na kuichana, kumbe ana tiketi yake...
  6. U

    Mrejesho: Biashara ya Ufundi Simu

    Mkuu nipo kijana hapa naomba kufundishwa
  7. U

    Anayehitaji kijana wa kazi

    Mkuu kama hardware pia unafundisha nahitaji
  8. U

    Natafuta kazi nijikimu kimaisha

    Unakufuru mkuu, anaepaswa kusujudiwa ni M/mungu pekee!
  9. U

    Naombeni msaada kwa hii infinix smartphone

    Mpelekee fundi, hako ka'sensor unaweza pata kwenye simu mbovu mbadala wake ama akikosoma huziba na kitu anachoona kinafaa but haita function automatically
  10. U

    Ink Cartridges HP 655

  11. U

    Kipimo cha MRI & CT- scan

    Habarini wakuu! naomba kujuzwa gharama za kipimo cha MRI na CT- scan, nataka kufanya kichwani. Natanguliza shukurani zangu za dhati kwa wanaJF.
  12. U

    Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

    Sorry mkuu, kama hajaridhia kujitolea mimi nimeridhia lakini nina diploma.
  13. U

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Point yangu hapa ni hawa wanaokula kimasihara wote wanakuwa wamepiga tough game, but hawakiri kuwa walipigiwa tough game!
  14. U

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Samahanini wakuu, mimi ni msomaji mzuri tu wa nyuzi katika majukwaa tofauti tofauti. Kinachonistaajabisha katika nyuzi hii, karibia visa vyote vinavyo hadithiwa hapa basi msimuliaji yeye ndiye anakuwa Man of Match. Ombi langu ni kwa wale wanaopigwa Knock Out (KO), watuhadithie pia tunataka...
  15. U

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Andika bhn, wengine tunasoma tu tunapenda venye mnavyotiririka!
  16. U

    Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

    Wasafi tv adhabu inaisha mwezi huu tarehe 28 na sio tena miezi 6.
  17. U

    Naomba kujuzwa Developer option katika simu za android

    Nataka ku'enable bila kuishika device kam inawezekana!
  18. U

    Naomba kujuzwa Developer option katika simu za android

    Naombeni kufahamishwa jinsi ya ku'enable usb debugging kwa CMD
Back
Top Bottom