Search results

  1. GREATTHINKERMAN

    Changoja: Picha ya marehemu Mwangosi imetengenezwa kwa Adobe Photoshop, si halisi

    Great thinkers msipate shida kupata majibu, yeye ndiye aliwatuma nyoka wake kufanya hivyo, sasa oweje aanze kujikosoa/kujisema? There were very notorios figures like *adolf hitler*, *benito mussolini*, *muammar ghaddafi * where are they now? The day is coming his name will change, and he will...
  2. GREATTHINKERMAN

    CHADEMA yanasa mbinu chafu za RC wa Arusha kuwatumia madereva Noah kuandamana

    nadhani jamaa ameshindwa kazi, wananchi wapenda amani tulioneni hili bila kuangalia wewe ni wa chama gani, tusiendelee kufa kwa sababu ya siasa chafu za mtu mmoja kwa maslahi yake binafsi ya kutetea chama badala ya kulinda wananchi. "arusha will remain forever but not the rc m.m, we need to see...
  3. GREATTHINKERMAN

    Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

    1.Rais Obama kwanini hujaenda Kenya na ukaamua kutembelea Nchi ya Tanzania? 2. Nini siri ya safari yako Tanzania
  4. GREATTHINKERMAN

    Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

    "Mungu awape faraja na amani wafiwa wote na waliojeruhiwa katika Milipuko hiyo ya mabomu Arusha". Kila jambo huwalinakuja kwa wakati wake na linaisha kwa wakati wake na hili litakwisha kwa wakati wake. Tuko katika kipindi ambacho napenda nikiite kipindi cha mabadiliko "REFORMATION PERIOD", wengi...
  5. GREATTHINKERMAN

    Rais Kikwete atuma salamu za pole kwa viongozi wa CHADEMA

    Binafsi sioni tatizo la mhe rais. kama unahoja juu vya vyombo vya ulinzi nadhani bora uielekeze huko maana kila mara yamekuwa yakitokea. wako wapi na wanafanya nini? na wale ndugu zetu wanaofanya kazi kwa kujificha ambao wengine wao wanakuwepo hata katika maeneo ya matukio ila hatusikii kaumia...
  6. GREATTHINKERMAN

    CECAFA: Yanga yavuliwa Ubingwa - Kombe la Kagame

    Wliopanga michezo ifanyike kwenye viwanja vya mapambano walifikiria nini? au ni magaidi? kweli inasikitisha sana
  7. GREATTHINKERMAN

    Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro chageuka kituo cha kulelea wajawazito.

    huji unapresent nini, kwani chuo ndio kinawapa mimba? Kupata mimba na kuzaa ni makosa? Ni sheria ipi inayowazuia kupata mimba na kuzaa wakiwa chuo kikuu? Au unadhani hiyo ni shule ya msingi au sekondari? kama una masikio umesikia na kama una macho umesikia
  8. GREATTHINKERMAN

    Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro chageuka kituo cha kulelea wajawazito.

    huji unapresent nini, kwani chuo ndio kinawapa mimba? Kupata mimba na kuzaa ni makosa? Ni sheria ipi inayowazuia kupata mimba na kuzaa wakiwa chuo kikuu? Au unadhani hiyo ni shule ya msingi au sekondari? Kama una masikio umesikia na kama una macho umesikia
  9. GREATTHINKERMAN

    Jengo la CCM Mtwara lateketezwa kwa moto...

    Hali hii tusiifumbie macho jamani, tuombeni sana kwa ajili ya suluhu isiyokuwa na madhara kwa watanzania.
  10. GREATTHINKERMAN

    CHADEMA yamuumbua mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro

    Ha ha ha ha. Suala la msingi ni kumpuuza maana anajifanya mjinga
  11. GREATTHINKERMAN

    CCM yatoa tamko juu ya mauaji ya Daudi Mwangosi

    Ccm kuvuruga maandamano ya vyama vya upinzani ndiyo kazi yenu na sasa kipaumbele chenu ni kuua kupitia hao ndugu zenu sijui mnawaita walinzi wa watu na mali zao. Mbinu yenu hii ni chafu, wala msifikiri watanzania ni wajinga kiasi hicho ambacho nyie mnafikiria. Wananchi siku hizi tunajua...
  12. GREATTHINKERMAN

    Tahadhari: Hii ni hatari sana kwenye simu

    Mkuu asante kwa taarifa hiyo. Nikupata na hapa nimeelimisha wengine kama kumi nilikuwa nao ofisini
  13. GREATTHINKERMAN

    Haya ni maajabu ya tume ya ajira!!!!tutafika????????????? ???

    Kama hauna si ukae kimya, mbona hapo hakuna kitu cha kushangazi. Au ulikosa kitu cha kuongelea?????????? Ushauri wangu, nenda mpaka na madaftari uliyotumia chekechea mpaka ulipoishia kielimu. Kuhusu kuzaliwa hapo sina ushauri.
  14. GREATTHINKERMAN

    Usifungue kama hukupata atleast "c" ya hesabu form 4!!!

    aliye toa hesabu anaumwa kama ni mzima basi hesabu iko kwenye dozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Back
Top Bottom