Search results

  1. Hazchem plate

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso asisitiza Mamlaka za Maji nchini, kufunga mita za malipo ya kabla

    Hiki kitu practically ni worse. Hakuna haja ya kuimpliment hii takataka. Hizi ni bench project tuu, kwenye uhalisia ni changamoto kubwa sana Tusiingie kwenye huu mtego. Am saying in technical perspective ๐Ÿ™
  2. Hazchem plate

    Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Sina jibu la moja kwa moja. Ila sina tatizo na mke wangu hana. Hata kama tunayo ni issue ndogo ndogo hata ambao wamepata watoto wanazo
  3. Hazchem plate

    Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Nilipima kukaonelana kuna some minor issues nikapewa dawa nikatumia
  4. Hazchem plate

    Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Amen ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
  5. Hazchem plate

    Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Mayai yapo na yanapevuka. Tumefanya hadi procedure inaitwa IUI lakini hatukufanikiwa. Naomba Mungu atutoe kwenye hili Pia nafikili kufanya IVF which cost abt 10 tzs milions
  6. Hazchem plate

    Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Kwa kweli nahitaji msaada katika hili. Nimeshautiwa na ndugu nirudi kijijini kwetu nilikozaliwa nikashtaki sijui kwa mababu na mizimu
  7. Hazchem plate

    Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Baada ya mahangaiko na mke wangu tulipima hiki kipimo, aisee aliumia sana. Hatujakata tamaa mwaka wa 5 huu tunahangaika. Mungu atukumbuke ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
  8. Hazchem plate

    Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ mm tayari washenga wameniandama wanataka mjukuu
  9. Hazchem plate

    Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

    Hivi posa ndio nini? Nachokumbuka niliweka 100k kwenye barua kwa wanyakyusa haohao walipokea na kwenye kuoa mahari ilifika m3
  10. Hazchem plate

    Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Hebu to maelezo vizuri. Kuna app umeinstall humo ndani ni ipi?
  11. Hazchem plate

    Tetesi: TBC hakukaliki, muda wowote Zuhura Yunus anakuja na mkeka!

    Hao akina kikeke na tido ni threat sana hamjui tuu. Hao watu ni open minded na wana exposure ya juu sana na watu wawazi. Sasa TBC inahitaji Funika kombe na wapiga fix kitu ambacho kikeke na tido hawawezi. Acha hao wafia chama akina Ayubu waendeleze mapambio siku ziende
  12. Hazchem plate

    Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

    Haya mambo yanenda na umri na mahitaji. Kama umri wako upo kumi la mwisho huwezi.
  13. Hazchem plate

    Car4Sale Isuzu {ELF} 1989 2WD Inauzwa

    Mtu aaache fuso kwa bei io
  14. Hazchem plate

    Wakatoliki mliokwazika na tamko la Papa jiungeni na kanisa aliloanzisha Padre Martin Luther la Lutheran msikae bila kusali

    Kanisa lina utaratibu wa kuwatenga waliojitenga sasa unamaanisha papa amekataza kuwatenga wapenzi wa jinsia moja?
Back
Top Bottom