Search results

  1. bab N

    Naomba ushauri wa namna ya kuondoa lamination katika vyeti (Delamination)

    Habari wakuu, Naombeni msaada wa kufahamishwa sehemu ambapo wanaweza kuondoa lamination katika cheti, nimehangaika sana na nahitajika lazima niondoe lamination ili cheti kiweze kuhakikiwa. Ahsanteni sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bab N

    wapi nitapata vaccines dar es salaam ?

    Habari wadau nauliza sehemu ambapo wanauza chanjo/vaccines za wanyama wakufugwa kwa dar es salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bab N

    Looking for Korean language training center

    Wadau habari zenu , Naombeni kufahamishwa sehemu ambayo wanafundisha lugha ya kikorea maeneo ya dar es salaam.
  4. bab N

    Architecture vs chemical engineering

    Msaada wa ushaur wa haraka unahitajika kwa wataalam na wenye uwelewe ,na uzoefu. Mdogo wangu kachaguliwa Udsm chemical ,na architecture ardhi,nataka kujua bora aconfirm IPI , Chemical engineering kazi zake kwa hapa Tanzania zipo ?? Unafanya kazi wapi ??? Nawasilisha
  5. bab N

    Msaada kuhusu application katika chuo kikuu cha Bugando Mwanza

    Wadau nimemuombea mdogo wangu chuo kikuu cha Bugando lakini nikawa sijakamilisha kitu kidigo sikumaliza, nikata kuendelea tena siku ya pili lakini cha kushangaza wiki ya pili hii system yao haifunguki. Je halii hii n kwa mimi tu au wote ?? Naomben mnisaidie maana tarehe 30 inakaribia na bado...
  6. bab N

    Kuhusu Ku apply vyuo....

    Habari zenu wadau .....kuna kitu mwenzenu kinaniumiza kichwa sana katika kuomba vyuo Mara hii ndio maana nimeona nianzishe uzi huu tuweze kujadiliana.. Katika mchakato ambao Mara hii kila mwanafunzi ataomba chuo anachokitaka nadhani italeta challenges sana kwa wanafunzi wengi kukosa fani...
  7. bab N

    Heshima kubwa kwako Othman Masoud Othman, Zanzibar na Tanzania kwa ujumla

    NI HESHIMA KUBWA kuwaarifu kwamba Mkutano Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la WIPO (World Intellectual Property Organization) uliofanyika Geneva, Switzerland October 3-11 umemteua Mhe. Othman Masoud Othman kuwa Mjumbe wa Kamati ya Usimamizi ya WIPO (INDEPENDENT OVERSIGHT COMMITTEE) akiwa...
  8. bab N

    Msaada:Natafuta chumba maeneo ya Magomeni mapipa

    Kwa mtu yyte mwenye taarfa yyte anisaidie nahitaj chumba maeneo ya magomeni mapipa... Najiandaa kujiunga na chuo cha D I T hivyo nilihitaj huduma hiyo ya makaazi maeneo ya mapipa t...ahsanteni Ambae yupo na taarfa yyte naomba ani PM tufanye biashara....
  9. bab N

    Mechanical engeneer vs telecommunication engineer

    Ushauri kati ya mechanical na telecommunication ipi kozi ambayo inalipa zaid ktk soko la ajira ,na je ipi ambayo upatikanaji wa ajira yke haisumbui ,ahsanten .
  10. bab N

    BACHELOR OF SCIENCE IN ELECTRONIC AND COMMUNICATION

    Wadau habari zenu ,naombeni ushauri kwa wenye uwelewe wa course niliyoitaja hapo juu ,nina mdogo wangu kaomba course hiyo in udsm , Kwa wenye experiences ya kozi hiyo nakaribisha ushauri ,sana nilihitaj kufahamu kazi zake (career) na pia marketing yke, Lkn pia kma nitapta utafauti wa course...
Back
Top Bottom