Search results

  1. D

    Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

    mtu anajaribu kuwasaidia mn m discourg tena? mm wa tanzania nimeshindwaga kuwaelewa kabisa hakunaga jema kwenu hata moja? tuache siasa kwny kila kitu itatugharim sana atlist tumpe moyo mana akipita kwny miaka ijayo mwanao au mjukuu atakula mema ya nchi. ivi c ndo sisi watanzania tunao lalamika...
  2. D

    Chenge,Werema: Tume imedanganya kiasi kilichopo kwenye mchanga, wajivua lawama

    hatakama hawaibi kwa kiwango icho ila c wanaiba? we should be serious bana
  3. D

    Toyota Prado Ipi Bora?

    half cylinder ya kerosene ni bomba zaidi. hata service yake ni gricelyne tu kopo 1 unatembeakm 1000000
  4. D

    Toyota Prado Ipi Bora?

    matumizi ya petrol au diesel
  5. D

    Mheshimiwa rais, umechuma janga. Gwajima sio DUDE ila George H.W. Bush ni DUDE

    je kama watu wakubwa wanamiliki ndo wafanye upuuzi tu kwa kuwa ulikua unafanyika toka ckunyng? mbona chi zao nyie hata mkiacha mke unakua deoorted? wa tz tuwe wazalendo sometimes msipende matumbo yenu tu. mtu anapofanya jambo jema mpe big up.
  6. D

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    yes. hatakama but atlist we have tried sio wanaiba tu kijings
  7. D

    ARUSHA: Watu wawili wafariki kwa kuchomwa moto bila nyumba kuungua

    we umeiona iyo pisi yenyewe au una bonga tu. mi nishailga enzi izo ma school secondari kitu cha arusha meru inakatika balaa inatoa paka donati cku inanipiga chini nili lia kinyama nikali arifuu.
  8. D

    Ukikatazwa usitembee na mpenzi wa lecturer/mwalimu wako uwe unaelewa.

    yan kitendo cha yy kukaa apo tu jamaa kaingiza upepo hata kama anajua kitu kina yeyuka
  9. D

    Taja kazi moja ya huu mmea

    kufugia dread
  10. D

    Jeshi la Polisi lataja wahusika wa mauaji Kibiti mkoa wa Pwani

    kingereza chenyewe cha google translater mkuu
  11. D

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    hapa cjaelewa file iki corrupt inaltaje short circuit? hapo afatilie tu mkanda wa display no isue ya bord kwanza ungemuuliza kama akitumia external monitor inafanya kazi
  12. D

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    soma google and youtube kozi
  13. D

    Jeshi la Polisi lataja wahusika wa mauaji Kibiti mkoa wa Pwani

    ni bora kuwatangaza mana hawaja washika na bado wanaua watu. wakitangazwa itasaidia mauaji kupungua
  14. D

    Jeshi la Polisi lataja wahusika wa mauaji Kibiti mkoa wa Pwani

    cku wakija kwny nyumba yenu something will smell blood fulish we, iv watanzania mna nn? watu kutajwa tu kisa majina ya kislam mnaanza wehu. ulitaka aweke la mkristu wakati hayupo kwny upelelezi wake? ivi tuna nn jamani[emoji35]
  15. D

    Wanafunzi masnitch wapewa onyo ST. Joseph

    c lazima wote muwe na mawazo sawa fala ww
  16. D

    Sirro: Jambazi aliyevamia gari ya fedha Kurasini, alikufa akisema Allah U Akbar

    je why wamsingizie? eneweiz cjui ila Tanzania tunafanya kila kitu siasa ingawaje polisi wetu nao sometimes vihio
  17. D

    Adam Malima afikishwa Mahakama ya Kisutu na kusomewa shtaka la 'Kumzuia askari kufanya kazi yake'

    shida sio kufanya kazi yao,wanafanya kazi yao bile weledi
  18. D

    Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    hakuna watu wapumbavu....wasiojua sheria na vilaza kama polisi wa tanzania...wao kila kitu ni kutumia mabavu tu kujishusha kwao hamnaga ata kwny vifu vya kipumbavu anakua mpumbavu zaidi.
Back
Top Bottom