Search results

  1. victor siriamaka

    Muujiza wa mtume Muhammad wa kupasua mwezi vipande viwili wathibitishwa

    Mbona kuna dini ambayo kila kukicha yenyew inajitetea tu iaminike kuwa niyakweli! On the other side dini nyingine zoote hazina mpango wakujitetea bali zinajipambanua tu kwa facts! Ukiona kitu kinatafta kwa nguvu sana kukubalika jua kunatatizo mahal!!!
  2. victor siriamaka

    Wakulima na mnaolima tupeane michongo mjini kugumu

    Upo malolo sehem gani? Japo mwaka huu kitunguu kilizingua bei sanaa! Vp kuhusu mahindi ya gobo?
  3. victor siriamaka

    Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani ni uhuni tu, kanisa limepora mamlaka yasiyowausu ili kuzitawala ndoa

    Ndo mnavyodanganyikaga? Hivi kama ni upana wa elimu ya dini waisrael ndo wangekuwa wakuletetea hilo suala ! Wew upana wa dini zilizoanza kwa migogoro ya madaraka ndo ziwe na upana wa elimu? Hivi ungezaliwa na familia ya kikristu ungetetea dhehebu gani hapa? Je hao Wachina ambao hawataki...
  4. victor siriamaka

    Kumbe bwawa la Nyerere yalikuwa maono, Kenya yafunga mkataba wa miaka 25 kununua umeme wa bwawani kutoka Ethiopia

    Acha akil za ajabu muwe mnasoma kwanza ! Chanzo cha kutoka ziwa Victoria sicho kilichopo Ethiopia, kule kuna chanzo kingine. Hujui kama kuna blue Nile na White Nile na vyote vinakutana Sudan. Pia chanzo chenye maji mengi ni kile kinachotoka Ethiopia ndo maana Wamisri walipiga kelele sanaa
  5. victor siriamaka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahaaa!!!!! Wenye kampuni ni wajanja sanaa hata hizi odds huwa wanafanya juu chini wapate wao ! Ndo maana wao wanakuwa matajri ila sis tunakufa na sonona!!!
  6. victor siriamaka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aisee leo hili swala limenikuta!
  7. victor siriamaka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Online Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
  8. victor siriamaka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapana Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
  9. victor siriamaka

    Meli za kivita za Urusi zapokea kipigo cha drones kule Black sea

    Mungu mbariki Mrusi maana anafanya yaliyosahihi
  10. victor siriamaka

    Uwezo wa kufikiri wananchi wa Kenya, Rwanda na Uganda uko juu hapa Afrika Mashariki

    This should be researched! Ila kwasasa wabongo wameamka sana sana , especially kuanzia kipindi cha utawala wa Magufuli
  11. victor siriamaka

    Iran nchi inayoongoza kwa kuikopesha Tanzania

    Hiyo ni 11% ya deni la nnje na ni deni la mafuta tuu
  12. victor siriamaka

    Nifanye nini ili niongeze kipato changu?. Kwa sasa nipo nje ya nchi

    Usijaribu kuagiza kuwa ufanyiwe jambo lolote Tanzania !! Utajuta . Vumilia mpaka utakaporudi
  13. victor siriamaka

    Kwanini Serikali inawabagua walimu wenye shahada kwenye ajira?

    Wanaostaafu wengi ni walimu wa ngazi za cheti na diploma
  14. victor siriamaka

    Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

    Mbona watakuja wengine tuu!! Tena mabenki ya huko Uingereza yataanza kufurika huku Tz
  15. victor siriamaka

    Msikiti uliopewa Jina la Yesu

    Unaamini Yesu alibatizwa? Je Issa bin mariam alibatizwa pia?
Back
Top Bottom