Search results

  1. P

    Mbwa aina ya Caucasian Ovcharka....!!!!

    hiyo nayo sio aina ya mbwa mkuu? cc CHIKIRA MTABARI
  2. P

    Kampuni ya migodi ya North Mara (ACACIA) kupunguza wafanyakazi 1200

    na bado watapunguza sana magufuli kawachokonoa tena
  3. P

    Jinsi ya kuwa Tajiri

    nikiingia kazini tarehe 16 nitaanza kufanyia kazi mbinu hii. nusu ya mshahara lazima nisevu, nitabana sana matumizi lazima niwe na namna ya kuja kuwa na hela nyingi, matumizi kidogo
  4. P

    Mabilionea Kanda ya Kati ni shida

    unamwambia nani sasa?
  5. P

    Natafuta Kazi Ngumu Sana Lakini Iwe Na Malipo Mazuri.

    hata msikiti pia aki play role kama ulivyosema ataona mafanikio ya haraka
  6. P

    Kijana wa kiume akamatwa akimfanyia mtihani mpenzi wake wa kike

    haha, pole sana chiki, nilikuwa na mrembo wangu huku aliitwa jina kama lako..
  7. P

    Wana-Intelligence naomba mnisaidie ili niwe Mwana-Intelligence niliyekamilika

    thanks for the warmth reply. kama hutojali, naomba tufahamiane..
  8. P

    Wana-Intelligence naomba mnisaidie ili niwe Mwana-Intelligence niliyekamilika

    asante sana dada nimekuelewa! naona umependeza sana kwa avatar yako! teh teh
  9. P

    Wana-Intelligence naomba mnisaidie ili niwe Mwana-Intelligence niliyekamilika

    dada umetisha! nakuja inbox uniambie unawezaje kujua haya wakati...?
  10. P

    Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

    yani wote wawe ma IGP sio? kwa kweli tungekuwa mbali
  11. P

    Jamani naomba msaada wa vitendea kazi, nina hamu ya kuanza kilimo cha mazao mbalimbali

    mkuu asante kwa maswali maswali. mimi nahitaji water pump ambayo itanisaidia kuvuta maji kutoka ziwani/bwawani na kupeleka kwenye shamba la mahindi na bustani ambazo nimepanga kuja kuziweka karibu na eneo hili umbali kama wa mita 120 kutoka kwenye chanzo cha maji ntashukuru endapo nitasaidiwa
  12. P

    Jamani naomba msaada wa vitendea kazi, nina hamu ya kuanza kilimo cha mazao mbalimbali

    Hello wadau na wakuu wa forum hii adimu ya JF! mimi ni kijana wa umri wa miaka 26, naishi mwanza mjini kabisa. nimekuja mbele zenu hapa mnipatie msaada wa vifaa mbalimbali ili niweze kuingia katika kilimo Nimesoma machapisho mbalimbali humu jf na kuona namna watu wanavyofanya shughuli zao za...
  13. P

    Wanaume weusi vs wanaume weupe

    ndio wewe huyo kwenye profile picture?
  14. P

    A picture with deep meaning

    wewe ni muislamu eti?
  15. P

    Kujenga nyumba kwa Tshs. milioni 7 inawezekana?

    mimi huku mkoani najenga kwa milioni 3.. kiwanja changu.. tofali zangu.. mchanga wangu.. nanunua mawe, mbao, misumari, bati, simenti ,,fundi vyumba viwili na sebule maisha yanaenda
  16. P

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    asante kwa majibu murua. bila shaka gharama za usafiri pia ni zenu nitamtafuta ndugu yangu nione namna ya kuwafikia
  17. P

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    asante sana, nimekuelewa. lakini vipi kama mzigo ukifika ukiwa na damage zozote? na kama ukipotelea kwenye basi? usinifikie? nani atakuwa responsible kwa usumbufu? kumbuka kutoka dar mpaka mwanza si jambo jepesi.
Back
Top Bottom