wapenda nyagi pitieni hapa! leo sijui kwanini nimelewa kwa nyagi moja tuu?

Plan Of Action

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
462
381
18527978_134518387095879_6452802093642530818_n.jpg
 
Siku hizi Tanzania Distillers wanaweka viroba kwenye chupa za konyagi, haza mizinga
 
Wanachangia kukuza viwonder na kuingiza pesa za ndani ya nch kwenye mifuko ya wenye bar.
 
Back
Top Bottom