Search results

  1. C

    DAWASCO ya Samia vs DAWASCO Magufuli

    Mimi mkazi wa Makongo Juu, tulianza kupata huduma ya maji ya DAWASCO takriban miaka minne Sasa, huduma Kwa wateja was the best huko nyuma, mpaka Sasa huduma sio mbaya ila changamoto iliyopo Kwa wateja wapya, watu wameomba kuunganishiwa maji tangia mwezi wa saba mpaka Sasa tunaambiwa vifaa hamna...
  2. C

    Kupitia tukio la leo la mechi ya Yanga na Simba nimejifunza kitu

    Kupitia tukio la leo la mechi ya Yanga na Simba nimejifunza kitu, HEBU TAZAMA; 1.Wasanii wa muziki wanalalamikia BASATA 2.Wasanii wa Filamu wanalamikia bodi ya filamu 3.Mpira wa miguu tatizo TFF iliyo chini ya BMT Hizi taasisi zote zipo chini ya wizara ya habari,sanaa na...
  3. C

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Nilipiga moja kwa traffic jam hapo maeneo ya junction ITV mwenge katikati ya foleni
  4. C

    Natafuta rafiki wa kiume

    784220222
  5. C

    Wahudumu wa Triple 7 Bar Mikocheni acheni wizi

    Bar yetu ya triple 7 iliyoko mikocheni ina hadhi nzuri na tunaipenda napenda usifu uongozi kwa kutujali kwa maandhali mazuri, ila nimegundua wahudumu wao wanaweza isababishia bar hii kushuka thamani kwani huwa wanabambika Sana bill, chakula Cha 10,000 wanaongeza 3000 unaletewa bill ya 13,000...
  6. C

    Sababu za kutumbuliwa aliyekuwa Katibu Mkuu Nishati na Madini

    kaka hujaelewa, anamaanisha ana ukakika wa 90% kuwa kilichopo humo kwa container ni sio mchanga peke yake Bali madini pia yapo
  7. C

    Clouds wahaha baada ya kum-record mwanamke anayedai kazaa na Askofu Gwajima

    Katokana na kinachoendelea kuwa Soud Brown aka SHILAWADU ku-record video ya kumuhoji mwana mama anaedai amezaa na Gwajima, huku Clouds wakidai kuwa Makonda alitumia nguvu katika kutekeleza tukio hili; Uongozi wa juu wa Clouds umeitisha mkutano wa dharura kwa staff wote hata kama uko likizo but...
  8. C

    Mmiliki wa Africa swahili Tv na Africa swahili Fm ni mmoja?

    Mmiliki ni Davis Mosha only, William ni kama kawaida yake le mpambes, le mshkaji
  9. C

    Natafuta mume mwenye watoto/mtoto

    Mmmh mchagaaaa!
  10. C

    Polisi yamzuia askofu Mokiwa Bukoba

    Mokiwa anatughalimu sana Wana Anglican, mnatufanya tuchukie kanisa letu, hautakiwi na majority ya waumini kila Kona, jaribu kuwa na busara na umeweke Mungu mbele, kwani kuwa na kashfa TU ukiwa kama kiongozi WA Dini automatically haufai kuendelea kuwaongoza wanakondoo, Please please tuachie...
  11. C

    Uchaguzi wa udiwani Arusha, kiashiria cha kukubalika Rais Magufuli

    Labda ubabe uendelee but ccm hawana nafasi Arusha, nasema hivi mimi mwenyewe nikiwa ni ccm
  12. C

    Enzi zile za Mwalimu

    Kwa kip kipindi hicho utoe wapi kitambi wakati kila sehemu unaenda kwa mguu
  13. C

    Waziri wa Mkapa aomba haki itendeke baada ya kudhalilishwa mtandaoni

    Huyo Mange Kimambi her days are numbered, huwezi kumdhalilisha mama wa watu ambaye hajakukosea kitu, yule ni kama mama yake, kama ana matatizo Na mwanae amalizane Na mwanae not mama wa watu but naamini soon Mange yatamkuta kwani hii serikali sio Ile na apart from serikali kuna watu wengi...
  14. C

    Siri nzito ya Zombe na Bageni

    But ninachokumbuka mimi wafanyabiashara hao walinyang'anywa briefcase yenye jumla ya shillingi 150,000,000 Na Police Na ndio sababu ya kuuwawa
Back
Top Bottom