Nadhani anajaribu kukimbizana na soko la Digitali plus aliibiwa haki zake sasa nakua na msongo wa Mawazo. Naamini kama akiamua fufanya remix ya hizi za zamani kwa kuongeza beti za kiswahili flani hivi cha kuelezea anacho imba , inaweza kulipa angalau Pensheni ya kuzeekea
Mwenye Album Hiyo tafadhali naomba unipatie nyimbo za album hiyo
Mimi ninazo
1. Maria Saloma 2. Kaisiki 3.Alimwatusile pekee.
Naomba mwenyei nyimbo zingine za Abum hii anisaidie.
NJIA YA HAJA KUBWA - hiyo ni sentesi sio neno moja. Huko SA mtakua mnageuza maneno kuwa sentensi, Kwani MKUNDU sio Kiswahili? Kujifanya unajua kumbe sifuri.
Sote tumeshuhudia namna msiba wa Ruge na sarakasi zake unavyo endelea. Binafsi naiona nguvu ya Media katika shughuli za msiba huu. Kumekuwa na hamasa kubwa ya watu juu ya msiba huu, hii naamini ni kutkana na msiba huu kufanya habari ya taifa kwa takriban wiki moja mpaka sasa. Kila kukicha...
Iko hivi, Katika border ya Tunduma kwa Mtanzania mara chace sana kuombwa pesa na Afisa wa Tanzania, labda akikuona mgenimgeni wa mambo na una hali ya mashakamshaka. Binafsi iewahi kunitokea mara moja tu na nilimpa buku tano na tena aliomba nimuachie ya maji ya kunywa na kwakua alitoa ombi nami...
Nyie madogo ndio mnaharibu hili jukwaa. Zamani kulikiua na Mada za maana na watu wenye akili walikua wanaleta mada au kuchangia michango kwa akili kubwa. Sasa tangu mlipo leta u-fesibuku wenu humu hili jukwaa limepoteza mvuto. Tafadhali kama haujui kuandiaka omba msaada au unapo kosolewa basi...
Watu wanachukulia poa hili Swala. Tatizo lilianzia wakati Zahera namnanga Yondani, Kwa namna ambavyo Zahera alivyo elezea swala lile ni kana kwamba yeye Kocha alikua tayari wamekwisha yamaliza na Ajib kuhusu kumpokonya Unahodha Yondani, ni kana kwamba ajib alichangia kumshawishi kocha au kumpa...
Poleni sana Yanga na Hongereni sana Mnyama Simba.
Naomba nitoe maoni yangu kama mtanzania huru na ingawa ninayo timu yangu baina ya Simba au Yanga .
Hasa napenda kueleza juu ya mustakabali wa Yanga miaka kumi ijayo katika ulimwengu huu wa maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano kuna...
Niende haraka kwenye hoja
1. Watanzania wengi wanashangilia Lisu kuongea English bila hata kuelewa maana.
2. Lisu Anachuki binafsi juu ya Rais
3. Lisu yuko tayari kuona nchi ina angamia akidhani anae uniambie ni Rais pekee.
4.Wazungu wanajua mema yote ya. Rais JPM hata zaidi ya wa Tz
5.Lisu...
Huyu ni mshiriki wa ushindani la miss Rwanda 2019. Alianza kutikisa vichwa vya habari baada ya kuripotiwa kuwa binti pekee aliyejitokeza katika shindano hilo akiwa a imetokea kijijini na kutembelea kwa miguu imebaki wa kilomita kumi.
Akiwa njiani kuja katika usaili alipata ajali ya kujikwaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.