Search results

  1. Mbojoz

    Part 1: TISS bado safari ngumu

    Kuna nzi mmoja wa kijani mfia chama cha mboga,akili nzito,mburula eti naye ni member wa Tiss yaani mpaka leo najiuliza Sasa mm nikiomba kazi hii si ntakuwa boss wao?Mungu atusaidie watz turudi kwenye mstari.
  2. Mbojoz

    Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

    Utasikia,walivyoona nimemtumbua mtu wao waliokuwa wanamtumia wakaamua wamchukue wampe ajira.
  3. Mbojoz

    Malipo ya madeni kwa watumishi wa Umma kwa mwezi wa tatu

    Inauma sana, yaañi nahitaji hela kuliko hata damu
  4. Mbojoz

    DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

    Shekhe kapaniki Sana, hakuna çha albadili labda amloge tu sio eti kumshtakia kwa Muñgu,na ñasikia uçhawi haruki mipaka cjui atafanye shekheeee
  5. Mbojoz

    Ushauri: Mume wangu hanipi tendo la ndoa, najisugua na vidole hadi nafika kileleni

    Raha jipe mweñyewe,ila inasikitisha sana,mtafute Ñyoso.
  6. Mbojoz

    Hadithi: Bruno the Fisherman

    Mmh
  7. Mbojoz

    Cyprian Musiba: Rais hataki miaka 7 ila sisi tunataka, Bunge lifanye mabadiliko ya Katiba

    Huu ñi uchoçhezi wa wazi ,añgekuwa upinzañi sasà hivi añgekuwa ndani
  8. Mbojoz

    CUF: Taarifa kwa umma na vyombo vya habari kuhusu uteuzi wa CCM kwa jimbo la Kinondoni

    Sijawahi kuoñà upinzani waoga kiàsi hiki¡Hatutaki tenà kitu kupita bila kupingwa,heri tufe wote sio kukubàli huu upumbavu,
  9. Mbojoz

    Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    Jamani The Bold bàdo hajarudi?
  10. Mbojoz

    Sitegemei kuwasikia viongozi wa CCM na serikali yake kupongeza maamuzi ya mahakama ya Kenya

    Hujaenda kumsalimia mzee wa mihogo kule Canada mkuu?Hivi kule kuna mihogo?
  11. Mbojoz

    Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

    Mwili mkubwa akili nukta(.) Mbona media zote zimeripoti vile,au ikiandikwa jamii forum ndio Sizonje atafura.Hawa watoto waliopatikana kwenye vyoo vya baa ni shida sana.
  12. Mbojoz

    Nioneshe marafiki wa Tundu Lissu nami nitakuonesha Oligaki, Aristrokasi na Timokrasi

    Hakuna yeyote aliyemjibu LISU kwa hoja ,kwahyo ccm wote mmeshindwa kabisa hata kujifungia ndani hata kwa cku 7 mje na hoja za maana mnakuja na stori uchwara tu.Mpendazoe mwenyewe ng'ombe aliyekatika mkia.Akili Ndogo nyie. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mbojoz

    Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Huku mnatuonea kwa kutaifisha mali zenu kisa tunadaiwa kodi halafu nyie hamlipi Deni?Ndio mkome mlipe tena hyo ndege ichukuliwe. Yaani huku kila kona tra na polisi halafu wewe hutaki kulipa deni. Mwosha huoshwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mbojoz

    Mtazamo wangu juu ya Makonda na TEF

    We naye makinikia tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mbojoz

    PM Majaliwa: Serikali italipa madeni yote halali ya watumishi

    Tutanyooka, ila tukutane 2020 Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Mbojoz

    Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

    Mkuu unajitahidi. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom