Search results

  1. Gibiba

    Mafao ya ustaafu kwa Wafanyabiashara

    Hodii ndg zangu! Kwa muda sasa nimekuwa natafakari juu ya hii mada lakini pia nilisubiria kama atatokea mbunge hata mmoja wa bunge letu tukufu angejaliwa kushukiwa na roho mtakatifu juu ya hili, lakini haijatokea. Nimeamua kuwasilisha mwenyewe si kwa nia kukwamisha mapato ya nchi wala...
  2. Gibiba

    Bajeti ya serikali sasa imenitoa tongotongo

    Nianze kwa kuishukuru serikali ya rais Magufuli kwa kuthubutu kukabili miradi ya maendeleo kwa kutegemea vyanzo vya ndani. Lakini zaidi niishukuru sana serikali kwa mara ya kwanza kuvunja rekodi kwa kutenga zaidi ya 40% ya bajeti hiyo kwa kuielekeza katika miradi ya maendeleo. Hii tu ni ishara...
  3. Gibiba

    UKAWA: Mbona hamtujuzi habari za kijana wenu M/kiti wa BAVICHA?

    Ni takriban cku 4au5 hivi tangu mmeripotisha hapa jamvin,kwamba kakamatwa m/kiti wenu wa BAVICHA na amepelekwa kusikojulikana. Hivyo tulitegemea kuendele kupata update kwa kila hatua lakin cha ajabu mmekaa kimya. Hata kama amepatikana,vyema pia mkatujuza wana jamvi ili kuondoa maswali mengi...
  4. Gibiba

    Ujumbe kwa Rais Magufuli: Wananchi wa Natta Serengeti tumeporwa eneo ndani ya WMA ya Ikona

    Mh. Rais, kwa maskitiko makubwa sana napenda kuwasilisha lalamiko la wananchi wa natta wilayani Serengeti. Mh. Rais,wananchi wa natta tunayo kero kubwa ya kuporwa eneo ndani ya WMA ya Ikona na badala yake kuvamiwa eneo lingine lililopangiwa matumizi ya malisho tangu mwaka 2003 kwa vikao halali...
  5. Gibiba

    Ushauri: Ni zawadi gani nimzawadie mwanangu?

    Ni mtt wa kiume wa darasa la pili anasoma medium school,hii ni mara yake ya 6 anashika nafasi ya kwanza tangu ameanza shule,na sijawahi hata mara moja kumtunuku zawadi tokana na kipato duni. Leo nimeamua niwashirikishe wadau ili mnipe ushauri wa zawadi ndogo inayomfaa na ya gharama ndo kwa...
Back
Top Bottom