Gibiba
Senior Member
- Jun 22, 2016
- 114
- 27
Ni mtt wa kiume wa darasa la pili anasoma medium school,hii ni mara yake ya 6 anashika nafasi ya kwanza tangu ameanza shule,na sijawahi hata mara moja kumtunuku zawadi tokana na kipato duni.
Leo nimeamua niwashirikishe wadau ili mnipe ushauri wa zawadi ndogo inayomfaa na ya gharama ndo kwa ajili ya kumtia moyo baada ya kuwa tena wa kwanza kwa mara nyingine.
Naombeni michango yenu wazazi wenzangu.