Search results

  1. Alex Fredrick

    Naomba kujua kwanini ukimtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la 10% kutoka katika Mshahara wako huku ukiwa na Furaha nae hukubariki maradufu?

    Huu ni Utaratibu wangu wa miaka kuna kipindi niliacha nikawa juani mbaya. Miaka ya hivi karibuni tena kwakweli namuona Mungu Sana,na Kibiblia tunatoa kwasababu tunampenda Mungu kwahiyo tunatoa kwa Furaha
  2. Alex Fredrick

    Toto Afya: Waraka mfupi kwa Rais Samia

    Rais awali ya yote natumai, natumaini na ni matumaini yangu umzima wa Afya, Mwaka jana Wananchi hasa Sisi wenye watoto wadogo tilipata mshituko kidogo kusikia NHIF wametoa Kifurushi cha Toto Afya na kuweka utaratibu mpya Utaratibu mpya wa sasa wa"Toto Afya"unapatikana kupitia mashuleni tu, Na...
  3. Alex Fredrick

    TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    Upumzike kwa Amani Mwanaharakati Mahiri na Kijana Mzalendo wa Taifa hili,
  4. Alex Fredrick

    Barabara ya Mbezi kwenda Morogoro,"Serikali Ilione Hili"

    Leo Majira ya Asubui nimepata wasaa mzuri wa kutembelea Eneo la mbezi Magufuli stand na badae kuanza safari yangu kuelekea Mkoani Morogoro.. Nilichokiona kwa muda Mfupi , Barabara ya Mbezi kwenda Morogoro imezidiwa vya kutosha na foleni za magari Hapo kama ikitokea "Ajali basi tatizo linakuwa...
  5. Alex Fredrick

    Waraka Mfupi kwa Waziri wa Viwanda na Biashara

    Serikali kupitia Waziri wa Viwanda anatakiwa kutupia Jicho la Tai pale Msajili wa Makampuni(BRELA) Leo Majira ya saa Saba za mchana nilienda BRELA kupata Huduma lakini Jambo la kushangaza na kusikitisha eti ikifika saa Saba kamili wanafanyakazi Karibu wote wanaenda kupata mlo wa Mchana Kwahiyo...
  6. Alex Fredrick

    Waraka mfupi kwa IGP Wambura

    Siku za hizi karibuni tumeona wimbi kubwa ya wezi kuvamia nyumba za Watu na kuiba vifaa vya magari Majuzi maeneo ya Bunju maeneo ya Watumishi Housing. Mabwepande, Manzese nyumba Zaidi kumi wamekutana na "Kadhia' hii za magari yao kuibiwa vifaa Kila uchao tunaona wezi hawa ndo wanazidi na sioni...
  7. Alex Fredrick

    Uzuri wa Mbinguni

    Amen Ujumbe mzuri Sana Mungu Akubariki na Zaidi na Sisi siku moja tuwe na Mwisho Mwema tukamuone Kristo Yesu wa Nazareth Aliye Hai
  8. Alex Fredrick

    Majanga na Vita Dunia: Ushauri wa Bure kwa Rais Samia

    Miezi ya hivi karibuni tumeona machafuko Duniani hasa Vita kati ya Urusi na Ukraine, siku siku chache za hivi karibuni tumeona hali tete ya Israeli na Palestina na kulipotiwa maelfu wakipoteza Maisha. Vita hizi za Mataifa makubwa pomoja na kuleta madhara makubwa Kwa Nchi husika lakini tunaona...
  9. Alex Fredrick

    Kwa nini bado TRA kupitia Task Force wanafunga akaunti za wateja?

    Miaka ya hivi karibuni tumeona Mamlaka ya Mapato (TRA) kupitia Task Force ikifunga ACC za wateja mbali mbali Hivi karibuni tulipata habari njema kupitia Mh Rais na Mh Waziri Mkuu kwamba Task Force iache kufunga ACC za wateja bila Sababu za msingi Naandika waraka huu Kwako MH Rais au MH Waziri...
  10. Alex Fredrick

    Mkandarasi anayetakiwa Kujenga Daraja la Mto Mpiji linalounganisha Mbweni na Mapinga anachelewa nini kuanza Ujenzi?

    KAZi ikianza na kuisha mapema litasadia maana kuna foleni kutoka Tegeta mpka Bunju B.. Kwahiyo hilo dalaja likikamilika watu wengi wanaonda Bagamoyo watapita njia hiyo
  11. Alex Fredrick

    Muulize Mobutu utamu wa Kamanyola "Cheza bila jasho"

    Huyu alipata kuwa Waziri WA Fedha wa Ivory Coast
  12. Alex Fredrick

    Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni Turufu Kuu ya Rais Samia katika kupata Kura nyingi za Kanda ya Ziwa

    Kongole Kwa kutumia Jicho la Tai kuona mwenendo wa Uchaguzi 2025.. MH NWM Biteko ni pia hana makundi yoyote kwahiyo MH Samia katumia hiyo karata kupata Kura za kutosha hasa Kanda ya Ziwa ambapo ndio sehemu pekee inayoamua Nani awe Rais kwa wingi wa Kura zao
  13. Alex Fredrick

    Historia ni Mwalimu

    Ni Vema kujua historia yetu Kwa Wale ambao wamelipigania Taifa letu Katika kupata Uhuru
  14. Alex Fredrick

    Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

    Betri:parker Power Mchele:VIP Biscuit. Maria Dawa ya kifua:Cofta Dawa ya kidonda:Mchuzi wa Jogoo Sindano zinachemshwa moja mnachoma hata watu kumi .. hosp yoyote chumba cha sindano kuna jiko la stove Raba :lakuchumpa Marafuku mtoto kuwa na nywele ndefu maana akioga atamaliza sabuni Dawa...
  15. Alex Fredrick

    Je, ni Akili za Kitaaluma pekee ndizo zinazokufanya uwe mwana Usalama wa Taifa mahiri, au ni zile Akili za Kuzaliwa nazo ( Nature ) tu?

    Nchi Kama Israel Wana recruit watu kutokana na uwezo wao. Kwa Mfano Kuingia "MOSADI' Kati ya watu Mia Moja basi wanachagua mtu mmoja kwenda kupata mafunzo kwenye medani za Usalama Tu Kisa Mafunzo:Siku hapo Israel kuna Magaidi walivamia club na kua watu Basi MOSADI walituma Kachero moja...
  16. Alex Fredrick

    Rais Samia tafadhali fahamu Uhuni huu Usiovumilika unaofanywa na Polisi wako Kuingiza Watu Kinyemela Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Nimeacha kwenda Uwanjani hasa Taifa kwasababu hii michezo mibovu ya badhi ya Askari wetu Ambao hawana maadili Yaani unanunua ticket ya VIP lakini ukienda Uwanjani unakuta eneo lako wamekaa watu wengine Kukazia Hoja yako:Angalia juzi "Simba Day"Uwanja kufurika na mapato ambayo Simba...
  17. Alex Fredrick

    Wakenya wamjibu yule Mtu aliyetutisha Watanzania kuwa tusipowakubali DP World watahamia Kenya na tutajuta

    Kenya na Rwanda Elimu zao zimezalisha wasomi mahiri Kupitia medani zote ambazo kwayo "Utaifa na Uzalendo"Ndio kipaumbele Pekee tofauti na Nchi zingine za 'Kusadikika" Naazima maneno ya Jenerali:"Bado Tupo Kwenye Mkwamo wa Masafa Marefu "
Back
Top Bottom