Search results

  1. Mpenda Siasa

    TUHUMA ZA RUSHWA BUNGENI: Wabunge Kangi Lugola, Victor Mwambalaswa na Sadiq Murad waburuzwa mahakamani

    Duh! Kazi ipo .......maskini sasa wanasiasa itabidi wajue fursa zinafungwa rasmi kwa awamu hii. Sadiq naona anataka kurudisha biashara ya mabasi kwa pupa maana mabasi yake ayaonekani!! Hongera Zitto Kabwe mwanamapinduzi saidia Tanzania ipate viongozi wazalendo na si wanasiasa wapenda kitu kidogo.
  2. Mpenda Siasa

    Viongozi wasiojua wajibu wao ni Jipu

    Habari Wanajamii Forums, Katika kumbukumbu zangu Enzi za tawala ya JKN halmashauri zote zilikuwa na taratibu za kutoa huduma kwa jamii husika kama vile ukusanyaji wa taka na nyinginezo kwa kutumia kodi na makusanyo mengine kam ushuru na mazingira kwa ujumla yalikuwa yanaridhisha. Hivi sasa...
  3. Mpenda Siasa

    Toyota RAUM inauzwa

    Mkuu ukikosa mteja nione mimi 5m my offer gari nzuri
  4. Mpenda Siasa

    Wanafunzi wa kike waua mwalimu wao... Adaiwa kutaka kumbaka mwenzao

    Aaaaah ngumu kuhamini ..inaonekana ni mpango uliopangwa wa kumkomoa mkufunzi...Barua usiku? nyumbani? aah wapi mpango ,RIP Dr J
  5. Mpenda Siasa

    Soma majibu ya Selebu wa Kibongo, Hemed akihojiwa na Zamaradi

    Utoto na kamwe hakui...wengi wanaojiita maarufu Tz wana matatizo ya kujieleza na ili linatokana na elimu ndogo na kutokuwa na watu wa kuwaongoza vizuri p'se badilikeni ndio maana unakuta watu wanaacha kuangalia hata kazi zenu na kubobea na kazi za nje i.e western kwanza kazi nyingi ni full copy...
  6. Mpenda Siasa

    Mbakaji wa wanawake apata kipigo baada ya kutegewa mtego

    Poleni sana mliobakiwa wanawake zenu na wale woote mliobakwa naombeni mkapime dunia imebadilika jamaa inawezekana anamatatizo labda ya kiakili au kiafya ni bora mkapime mapema..jela ataenda kubakwa tu kwahiyo msijali malipizo humuhumu duniani:A S 103::A S 103::A S 103:by mbakaji
  7. Mpenda Siasa

    Wito wa mapinduzi ya kizalendo Tanzania "Nationalism revolution" tarehe 19/02/2011

    Mmh..mdau naona umejaa uzalendo uliopindukia najua matatizo yanaongezeka kila kukicha na siasa ndio inatupelel huko mtu anathubutu kusema eti mfano tatizo la umeme hata nchi za jirani wana mgao! Sadc yote ina tatizo! Hapo inaonyesha jinsi viongozi kwenye sekta nyeti wasivyotumia maarifa ya ziada...
  8. Mpenda Siasa

    Nami mnipokee-new comer!

    Ndani ya JF naomba mnipokee-tutafute alipo jificha hosn mubarak
Back
Top Bottom